GE2025 Hatuna Mahakama Tanzania. Kila Mwananchi ajipambanie kivyake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
20250922_122201.jpg

​

Hii picha ukiiangalia kwa kawaida unaweza fikiri ni kikatuni na kawaida tu.

Ila ukweli halisi ni kwamba hii picha ni kielelezo tosha juu ya Mhimili gani wa Mahakama tulionao Tanzania sasa. Ni kielelezo tosha kuwa Mahakama ya Tanzania kwa sasa sio tena chombo cha kutoa haki bali ni chombo cha kukandamiza haki.

Picha hii ni kielelezo tosha kuwa kwa sasa Tanzania Wananchi hawana mtetezi yeyote maana mifumo note imeshakuwa compromised na dola dhalimu ya Wanasiasa mafisadi, wahuni na wakatili.

Polee sana Tanzania.
 
Usilete ushabiki kwenye mambo ya sheria Lissu alikosea kutoa maneno ya vitisho kwa mdomo wake alisema "Wanasema tutafanya uhaini, ndiyo tutafanya uhaini" sheria iko wazi ukifanya vitisho kwa Rais, Jaji au Spika utashtakiwa kwa kosa la uhaini , sasa kwakua alitamka mwenye anataka kufanya hilo kosa huku akijua kosa halina dhamana acha kesi iendelee hadi haki itakapoamulia kama atakutwa na hatia au laa.
 
Very good.
 
Ndo umetumwa ku post huu uharo wako?

Lissu katamka maneno gani ya kitisho? Ipi ni tafsiri ya kitisho?

Wapi Lissu alimtisha Rais? Alimtisha Jaji au Spika?

Umesoma Sheria wapi kilaza wewe???
 
Usilete ushabiki kwenye mambo ya sheria Lissu alikosea kutoa maneno ya vitisho kwa mdomo wake alisema "Wanasema tutafanya uhaini, ndiyo tutafanya uhaini" sheria iko wazi ukifanya vitisho kwa Rais, Jaji au Spika utashtakiwa kwa kosa la uhaini , sasa kwakua alitamka mwenye anataka kufanya hilo kosa huku akijua kosa halina dhamana acha kesi iendelee hadi haki itakapoamulia kama atakutwa na hatia au laa.
Mashahidi aliowataja waende mahakamani wakatoe ushahidi
 
Lucha bwanako hakukazi vizuri ndiomana una upimbi mwingi..!!

Hata kama ni uchawa huu wako ni nyegez zinazosababishwa na mumeo..!! Mchieww
Tukana tusi jipya
 
Mahakama Kuu ni level ya juu sana kwenye hierarchy ya mahakama Tanzania. Kinachoendelea sasaivi kinatuumiza mno sisi wadau. Japo sio kipya sana ila kwa sasa ubaya unaonekana kwa ukubwa ambao haujawahi kutokea.

Madhara ya haya mambo sio madogo.
 
Hii exhibition imeshajifia. Kilichobaki Wananchi tujue tu tunapambanaje.
 
Shida munataman mahakama iache sheria ifanye vile nyie munataka, hata ikitokea bahati mbaya mukashika nchi ( na haita tokea ) mutakuwa na akili hizo hizo za kipuuzi kuwa mahakama iache sheria ifate matakwa yenu, hamuwezi komboa nchi kwa comment za matusi kwa wale ambao munatofautia nao fikra.... Tukutane October Kura Zote Kwa Samia
 
Jaji Ndunguru na wenzake wawili kwenye kesi ya Lissu ni kama mahauseboy wa Samia tu
 
Shida munataman mahakama iache sheria ifanye vile nyie munataka, hata ikitokea bahati mbaya mukashika nchi ( na haita tokea ) mutakuwa na akili hizo hizo za kipuuzi kuwa mahakama iache sheria ifate matakwa yenu, hamuwezi komboa nchi kwa comment za matusi kwa wale ambao munatofautia nao fikra.... Tukutane October Kura Zote Kwa Samia
Tunaotetea haki na kweli tunataka Mahakama itende haki sio kuwa vibaraka wa watawala
 
Back
Top Bottom