Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Hatuna Mahakama TanzaniaNaunga mkono hoja.
Kwa sasa tuna Kangaroo court.Hatuna Mahakama Tanzania
Very good.Usilete ushabiki kwenye mambo ya sheria Lissu alikosea kutoa maneno ya vitisho kwa mdomo wake alisema "Wanasema tutafanya uhaini, ndiyo tutafanya uhaini" sheria iko wazi ukifanya vitisho kwa Rais, Jaji au Spika utashtakiwa kwa kosa la uhaini , sasa kwakua alitamka mwenye anataka kufanya hilo kosa huku akijua kosa halina dhamana acha kesi iendelee hadi haki itakapoamulia kama atakutwa na hatia au laa.
Ndo umetumwa ku post huu uharo wako?Usilete ushabiki kwenye mambo ya sheria Lissu alikosea kutoa maneno ya vitisho kwa mdomo wake alisema "Wanasema tutafanya uhaini, ndiyo tutafanya uhaini" sheria iko wazi ukifanya vitisho kwa Rais, Jaji au Spika utashtakiwa kwa kosa la uhaini , sasa kwakua alitamka mwenye anataka kufanya hilo kosa huku akijua kosa halina dhamana acha kesi iendelee hadi haki itakapoamulia kama atakutwa na hatia au laa.
Nenda mahakamani kamtetee acha kutukana kwenye keyboardNdo umetumwa ku post huu uharo wako?
Lissu katamka maneno gani ya kitisho? Ipi ni tafsiri ya kitisho?
Wapi Lissu alimtisha Rais? Alimtisha Jaji au Spika?
Umesoma Sheria wapi kilaza wewe???
Siku yenu inafika. Mtajutia huu upuuzi mnaofanya.Nenda mahakamani kamtetee acha kutukana kwenye keyboard
Acha uoga nenda kadai haki ya Lissu mahakamani beba bango nenda naloSiku yenu inafika. Mtajutia huu upuuzi mnaofanya.
Mashahidi aliowataja waende mahakamani wakatoe ushahidiUsilete ushabiki kwenye mambo ya sheria Lissu alikosea kutoa maneno ya vitisho kwa mdomo wake alisema "Wanasema tutafanya uhaini, ndiyo tutafanya uhaini" sheria iko wazi ukifanya vitisho kwa Rais, Jaji au Spika utashtakiwa kwa kosa la uhaini , sasa kwakua alitamka mwenye anataka kufanya hilo kosa huku akijua kosa halina dhamana acha kesi iendelee hadi haki itakapoamulia kama atakutwa na hatia au laa.
Tukana tusi jipyaLucha bwanako hakukazi vizuri ndiomana una upimbi mwingi..!!
Hata kama ni uchawa huu wako ni nyegez zinazosababishwa na mumeo..!! Mchieww
Mahakama ikitoa Summons kwa hao mashahidi wataenda.Mashahidi aliowataja waende mahakamani wakatoe ushahidi
Hii exhibition imeshajifia. Kilichobaki Wananchi tujue tu tunapambanaje.Mahakama Kuu ni level ya juu sana kwenye hierarchy ya mahakama Tanzania. Kinachoendelea sasaivi kinatuumiza mno sisi wadau. Japo sio kipya sana ila kwa sasa ubaya unaonekana kwa ukubwa ambao haujawahi kutokea.
Madhara ya haya mambo sio madogo.
Tunaotetea haki na kweli tunataka Mahakama itende haki sio kuwa vibaraka wa watawalaShida munataman mahakama iache sheria ifanye vile nyie munataka, hata ikitokea bahati mbaya mukashika nchi ( na haita tokea ) mutakuwa na akili hizo hizo za kipuuzi kuwa mahakama iache sheria ifate matakwa yenu, hamuwezi komboa nchi kwa comment za matusi kwa wale ambao munatofautia nao fikra.... Tukutane October Kura Zote Kwa Samia
Ndio sasa muiache mahakama ifanye kazi yake, na sio kufuata matakwa yenu wala ya watawalaTunaotetea haki na kweli tunataka Mahakama itende haki sio kuwa vibaraka wa watawala