Hatuna teknolojia ya kufunga nguzo za zege? Naona zimekaa tu

Hatuna teknolojia ya kufunga nguzo za zege? Naona zimekaa tu

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Kuna sehemu TANESCO wanafunga nguzo za zege? Kuna sehemu kama mbili naona zimekaa tu zaidi ya mwaka. Naona kama walizinunua bila kuwa na utaalamu wa kuzifunga, mbona sioni zikifungwa!
 
Barbara ya iringa-Dodoma mwaka juzi zinawekwa naona ila napita Jana zimeanguka kibao nyingine zimelala, nikajiuliza is this the next big thing? Kwa wenzetu zinadumu kwann huku ziko hvi?Navyofahamu Watanzania walivyozoea upigaji itakuwa wanaiba cement
 
Back
Top Bottom