Lastmost
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 802
- 919
Hivi wewe inakuwa serious kusifia kila kitu hata penye upungufu?Kuweni na shukurani ndugu zanguni kwa kazi kubwa na ya kutukuka inayofanywa na Rais wetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Utakuwa MTU wa ajabu Sana.
Kwa Nini usizungumzia mada husika kuhusu huduma za afya tz?
Hata unayemsifia atakuwa anakushangaaa,.