Lastmost JF-Expert Member Joined Jan 30, 2022 Posts 802 Reaction score 919 Dec 11, 2024 #21 Lucas Mwashambwa said: Kuweni na shukurani ndugu zanguni kwa kazi kubwa na ya kutukuka inayofanywa na Rais wetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Click to expand... Hivi wewe inakuwa serious kusifia kila kitu hata penye upungufu? Utakuwa MTU wa ajabu Sana. Kwa Nini usizungumzia mada husika kuhusu huduma za afya tz? Hata unayemsifia atakuwa anakushangaaa,.
Lucas Mwashambwa said: Kuweni na shukurani ndugu zanguni kwa kazi kubwa na ya kutukuka inayofanywa na Rais wetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Click to expand... Hivi wewe inakuwa serious kusifia kila kitu hata penye upungufu? Utakuwa MTU wa ajabu Sana. Kwa Nini usizungumzia mada husika kuhusu huduma za afya tz? Hata unayemsifia atakuwa anakushangaaa,.
Lastmost JF-Expert Member Joined Jan 30, 2022 Posts 802 Reaction score 919 Dec 11, 2024 #22 TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Kuanzia utawala wa Magufuli Na huu wa Samia kuna . Click to expand... Kazi ipo kubwa ndugu yangu ,Ila wanaotakiwa kuifanya wanaikwepa au kuifanya kwa maslahi binafsi. Too sad
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Kuanzia utawala wa Magufuli Na huu wa Samia kuna . Click to expand... Kazi ipo kubwa ndugu yangu ,Ila wanaotakiwa kuifanya wanaikwepa au kuifanya kwa maslahi binafsi. Too sad
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Dec 11, 2024 Thread starter #23 Lastmost said: Kazi ipo kubwa ndugu yangu ,Ila wanaotakiwa kuifanya wanaikwepa au kuifanya kwa maslahi binafsi. Too sad Click to expand... Inasikitisha
Lastmost said: Kazi ipo kubwa ndugu yangu ,Ila wanaotakiwa kuifanya wanaikwepa au kuifanya kwa maslahi binafsi. Too sad Click to expand... Inasikitisha