mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Najua mnajua enyi uto mlichokifanya mlijua fika madhara yake, sasa kama mliadhimia Simba asifanye mazoezi ya mwisho, kwa nini mnalazimisha acheze hivyo hivyo? Au mlijua majini mliyoyazindika uwanjani yangeoneka ( mkajikuta mnavunja miiko ya mganga wenu)?
Sisi sio wanyonge kiasi hicho, TFF na Board ya league mmemdekeza sana utopolo, sisi tunasema kama mbwai na iwe mbwai , hatupeleki timu uwanjani na hakuna kitu mtatufanya
Sisi sio wanyonge kiasi hicho, TFF na Board ya league mmemdekeza sana utopolo, sisi tunasema kama mbwai na iwe mbwai , hatupeleki timu uwanjani na hakuna kitu mtatufanya