Ushamba na uchawa unakutesaNajua mnajua enyi uto mlichokifanya mlijua fika madhara yake, sasa kama mliadhimia Simba asifanye mazoezi ya mwisho, kwa nini mnalazimisha acheze hivyo hivyo? Au mlijua majini mliyoyazindika uwanjani yangeoneka ( mkajikuta mnavunja miiko ya mganga wenu)?
Sisi sio wanyonge kiasi hicho, TFF na Board ya league mmemdekeza sana utopolo, sisi tunasema kama mbwai na iwe mbwai , hatupeleki timu uwanjani na hakuna kitu mtatufanya
Ki ukweli simba waungwe mkono na timu zote ligi kuu,simba akienda uwanjani hao gsm Wataona Wana haki ya kunyonga Ili wapate ponts 3 ila walipe faini,ni mara ngapi mechi za simba na yanga wao yanga wanapita mlango siyo lakini wanaishia kulipa faini? Chana akiwa simba aliwahi kusema "yanga wanajua kucheza dabi Kwa maana ya nje ya uwanja.Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.
Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.