Nimeshangaa sana hii, ila Motsepe na Frantino wajitafakari sana kwenye hili wanauharibu mpira kwa sababu za kipuuzi tu zisizo na maanaMuafrika ni kiumbe tofauti kabisa na binadamu, hata dunia inashangaa
Vizuri sana upindeAfrica imenichosha ngoja niende iran nikawasaidie vita kwa kutumia upinde wangu na mishale wanipe uraia kabisa. Senegal hao watu wakitaka kombe wape lile la kuchotea maji mimi siafikiani nao hata kidogo
. Tena umeleta meno yako huku ndugu hivi huwezi ukakaa ukatulia usiniquote plz au huu uzi ni wako coz zako za VERBOSE nyingi na cjacoment. mbona ivo sasa au unatafuta nini kwangu hasa.Vizuri sana upinde
Hii ndio nzuriRAISI KAAPA PALE LISHAFIKA
HIO CAS KAMA PROCEDURE TU
Mshenzi kanifurahisha sana anauliza kwa kilugha Chao atiLEO KA UPDATE
Senegal’s president casually updates his social profile pictures to include the AFCON trophy behind him.
How do you say “come and get it if you can” in Wolof?
hata wao hawataki tena kushiriki wameshajitoaWatarudisha tu vyote maana watafungiwa kushiriki
Napenda mimi mambo kama haya 🤣🤣🤣hata wao hawataki tena kushiriki wameshajitoa
kwa ujinga wote ule uliofanyika mashindano yashapoteza hadhiNapenda mimi mambo kama haya 🤣🤣🤣
Ukijitia chizi mwenzio anajifanya hayawani kabisa 😂
Wacha wafungiwe maisha...wataelewa..maisha si mpira tu.CAF itapoteza kila aina ya mvuto na mapato.Kule West ndiko hutoa wachezaji wengi.Senegal atafungiwa maisha akifanya hivo, ni Bora afate utaratibu huku akiendelea kusikilizia maamuzi ya CAS.