Hatutakagi ma-handsome, huwa tunapenda weusi, tunapenda vibamia, hogo linaumiza

Hatutakagi ma-handsome, huwa tunapenda weusi, tunapenda vibamia, hogo linaumiza

Hahahaaa!
Wako hoooot.
I think kwa kigezo cha sexy body sawa coz most of black gentleman's wako kidogo na body lakuvutia than white,pia wana swag za kiume sana tofauti na ma white wengi wanamiili ya kikekike sana na swag za kidemdem(i.e kuringa sana) .
So unakuta mnapenda boga (body na swag) basi inakua lazima mpende na ua lake (weusi wake )

hayo ni mawazo yangu mrembo,
 
mwanaume mweusi ni no nyinginge my super man mi mweus kila saa nahis kuibiwa maana
I think kwa kigezo cha sexy body sawa coz most of black gentleman's wako kidogo na body lakuvutia than white,pia wana swag za kiume sana tofauti na ma white wengi wanamiili ya kikekike sana na swag za kidemdem(i.e kuringa sana) .
So unakuta mnapenda boga (body na swag) basi inakua lazima mpende na ua lake (weusi wake )

hayo ni mawazo yangu mrembo,
 
Hogo halafu hana hela ya tax/hana gari yakukupeleka home, hela ya supu na matunda hana! Unajitafutia ulemavu.
 
Nacheka hatareeee! Ni ngozi ya kazi mkuu, ukimkuta anayejiita hb huwa natabia ya kuringa km mwanamke, sasa uhb ktk kazi wapi na wapi? Wanaume weusi wamebarikiwa kuwa na tabia za kiuhasiria kabisa za kiume.

Mwanaume uwe na mzigo ujue kuutumia ni nn sasa kujisifu kwa mhogo wa jang'ombe huku huwezi kuutumia? Ni sawa na yule bwana kutwa michepuko mke hamridhishi kabisa sasa huo ndio uanamme ama?
888[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Back
Top Bottom