GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema.
Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki.
Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa tayari ni DONE DEAL Uarabuni ila mmeuchuna Kutangaza na mkalianzisha la Chama ili Kufunika bado wenye Akili tunawachora tu.
Tayari mmeshapokea Mabilioni ya Mwarabu hamtaki Kutangaza mkihofia kuwa mkimtangaza leo Uwanjani mtakuja nyie na Familia zenu tu ila Mashabiki hawatokuja kwani watakuwa na Hasira ya kwanini Mtikisa Manyonyo wao na Kipenzi chao Kauzwa na Kaondoka?
Haya ngoja nami GENTAMIYCINE nijiandae Kushangilia Jezi Mpya itakayozinduliwa Kileleni huku Kende zikiwa Zimeganda na yenyewe pia Kuganda.
Fungu la Pili la Watalii wa Uturuki limeondoka Jana Asubuhi na la Tatu GENTAMYCINE naweza Kuongozana nalo Jumatano huku Kocha Mkuu akiwa Brazinyo, Semaji Kileleni Kilimanjaro na Jezi mpya zikiwa katika Begi la Sokoni Ilala Mchikichini.
Mpira wa Tanzania ni Burudani tosha.