Mambo mengine hayana sababu ya kuyaanzishia sredi.
MM nikiwa jf, ofisini, mtaani, kijiweni ama mahali pengine popote ninakuwa ni yule yule. Binafsi sishangai kwa mwanamke kutongozwa.
Halafu kujaribu kujenga taswira kwamba members wa jf ni binadamu wa tofauti ni kujaribu kujidanganya sisi wenyewe. Sisi ni miongoni mwa jamii ya kitanzania kama walivyo wengine, humu humu kuna mafataki, mafisadi, wafia dini, waungwana, macheki bobu na kila aina ya watu kama tulivyo huko mitaani na kwingineko. Muhimu hapo ni kuangalia kama mistari yake haina vina unampotezea na maisha yanaendelea, kwakuwa kama kuna ambaye alikuimbisha ukamkubali na hukuja kutushirikisha furaha yako hapa, basi huyo naye mpe za uso hata kama ni mbishi!! watu wanatongoza mwaka mzima bila kuchoka, usifanye mchezo.
Hii kitu inavyoelekea itasababisha watu waogope kukutana face 2 face wakiogopa kutongozwa!!:smile-big: