RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Wewe huyo au mwingine ? Au na wewe umepoteza mwanafamilia ndiyo umebadili gia angani?Damu ya watz imeshamwagika na sio Siri tena!!
Pua za watanzania zimeshanusa damu tayari na miili yao imekufa ganzi,ganzi ya kuwa tayari kwenda Kwa baba kama ndugu zao walivyoenda!
Kuna watanzania Kwa Sasa wanasubiri TU parapanda ilie waende coz wameshakata tamaa ya kuishi baada ya maumivu Yale ya Mo29.Dola ijiandae kumwaga Tena damu za maelfu Kwa mara nyingine kama mkiendelea kutumia akili za kijima ku deal na mawazo mbadala kama mnavyojionyesha!
Hakuna namna nyingine zaidi ya kuwajibika Kwa mwenyekiti kuonyesha kwamba ameguswa na damu iliyomwagika ,Mzee mwinyi aliwahi kufanya hivyo,Lowasa nae mnaweza kuongeza list!
Kuendelea kushupaza shingo ni kuwa tayari kumwaga damu Kwa mara nyingine na kuwapa maadui zetu mpenyo was kuingia nchini na ku destabilize uchumi plus mindombinu pamoja na ulinzi was nchi yetu!!
Kama ni dola bado tunayo kama chama na serikali namna pekee ni mwenyekiti ku step down kama mwenyekiti wa chama na makam wake awe mwenyekiti halafu mkutano mkuu uje na maazimio kwamba mjumbe wa cc ameshauriwa aachie ngazi katika nafasi ya chama na serikali kutokana na hitilafu za kiutendaji za jeshi la polisi na hapo makam naweza kuitisha maridhiano na vyama vya siasa na asasi za kiraia!
Hii itaisaidia serikali na chama na hasira za watz zaweza walau kupoa Kwa muda ili kupisha mageuzi yanayohitajika!!
No Bora tukawa na katiba ya serikali ya mseto kuliko kukumbatia mbinu za kijima kulazimisha ushindi nyakati za uchaguzi!!
Haha ni mawazo yangu binafsi na mawazo hayapigwi Rungu!!
Kama sanctions za kimataifa zikiendelea kama hivyo mjue tutashindwa kuiongoza serikali na tutawekwa triangle 📐 kimataifa tutashindwa vibaya mno kama Zimbabwe uchumi wake ulivyo anguka!!
KAZI na utu,tusonge mbele kiistarabu Sasa baada ya hitilafu zilijitokeza kuonekana!
Unajua nimefika hatua nikitembea hivi naona km muda wowote naweza kupigwa risasi bila kosa lolote..Pua za watanzania zimeshanusa damu tayari na miili yao imekufa ganzi,ganzi ya kuwa tayari kwenda Kwa baba kama ndugu zao walivyoenda!
Sisi ccm Huwa tunajivua gamba!mwl Nyerere aliandika tujisahihishe,Wewe huyo au mwingine ? Au na wewe umepoteza mwanafamilia ndiyo umebadili gia angani?
Ni wazo zuri ili kuepusha kulisambaratisha Taifa lakini akitoka Samia nani atachuku nafasi yake? Do you think Wassira Gombe na ubongo wake uliotindia atakuwa solution? We need a transition government that. will be led by a respectable Tanzanian. Kufika hapo ni lazima vijana wa jeshi letu wachukue nafasi yao sio wakina Mkunda!Sisi ccm Huwa tunajivua gamba!mwl Nyerere aliandika tujisahihishe,
Kwasasa kushupaza shingo ni hatari sana kwetu Bora Yona atoswe TU!
Na bila shaka ukikutana au kupishana na polisi wakiwa na silaha za moto.Unajua nimefika hatua nikitembea hivi naona km muda wowote naweza kupigwa risasi bila kosa lolote.
Watanzania wote wapo hivyo,jana nimeenda nyumbani kwa mwenyekiti wetu wa mtaa,anasema siku hizi hafungui ofisi kabisa,anahofia usalama wake,na ni mwana ccm mtiifu kabisa, hivyo kwa sasa hakuna aliye salama, ni muda wowote unapotea, ama kwa jeshi tiifu kwa chama,ama maadui wa chama, tupo pabaya.Unajua nimefika hatua nikitembea hivi naona km muda wowote naweza kupigwa risasi bila kosa lolote..
Hapana, ni kutokana na matukio yaliyotokea... shida hujui risasi inatokea wapi na inapigwa na nani shida ndio hioNa bila shaka ukikutana au kupishana na polisi wakiwa na silaha za moto.
Yeah hio nahisi ipo hivyoWatanzania wote wapo hivyo,jana nimeenda nyumbani kwa mwenyekiti wetu wa mtaa,anasema siku hizi hafungui ofisi kabisa,anahofia usalama wake,na ni mwana ccm mtiifu kabisa, hivyo kwa sasa hakuna aliye salama, ni muda wowote unapotea, ama kwa jeshi tiifu kwa chama,ama maadui wa chama, tupo pabaya.
Kinachofanya watanzania wasiogope tena ni wanaona hata waliokuwepo ndani bila kuandamana waliuwawa vilevile...sasa inabidi uchague wakufate ndani ama ikukute barabaraniDamu ya watz imeshamwagika na sio Siri tena!!
Pua za watanzania zimeshanusa damu tayari na miili yao imekufa ganzi,ganzi ya kuwa tayari kwenda Kwa baba kama ndugu zao walivyoenda!
Kuna watanzania Kwa Sasa wanasubiri TU parapanda ilie waende coz wameshakata tamaa ya kuishi baada ya maumivu Yale ya Mo29.Dola ijiandae kumwaga Tena damu za maelfu Kwa mara nyingine kama mkiendelea kutumia akili za kijima ku deal na mawazo mbadala kama mnavyojionyesha!
Hakuna namna nyingine zaidi ya kuwajibika Kwa mwenyekiti kuonyesha kwamba ameguswa na damu iliyomwagika ,Mzee mwinyi aliwahi kufanya hivyo,Lowasa nae mnaweza kuongeza list!
Kuendelea kushupaza shingo ni kuwa tayari kumwaga damu Kwa mara nyingine na kuwapa maadui zetu mpenyo was kuingia nchini na ku destabilize uchumi plus mindombinu pamoja na ulinzi was nchi yetu!!
Kama ni dola bado tunayo kama chama na serikali namna pekee ni mwenyekiti ku step down kama mwenyekiti wa chama na makam wake awe mwenyekiti halafu mkutano mkuu uje na maazimio kwamba mjumbe wa cc ameshauriwa aachie ngazi katika nafasi ya chama na serikali kutokana na hitilafu za kiutendaji za jeshi la polisi na hapo makam naweza kuitisha maridhiano na vyama vya siasa na asasi za kiraia!
Hii itaisaidia serikali na chama na hasira za watz zaweza walau kupoa Kwa muda ili kupisha mageuzi yanayohitajika!!
No Bora tukawa na katiba ya serikali ya mseto kuliko kukumbatia mbinu za kijima kulazimisha ushindi nyakati za uchaguzi!!
Haha ni mawazo yangu binafsi na mawazo hayapigwi Rungu!!
Kama sanctions za kimataifa zikiendelea kama hivyo mjue tutashindwa kuiongoza serikali na tutawekwa triangle 📐 kimataifa tutashindwa vibaya mno kama Zimbabwe uchumi wake ulivyo anguka!!
KAZI na utu,tusonge mbele kiistarabu Sasa baada ya hitilafu zilijitokeza kuonekana!
Kwa kweli CCM imetukosea sana Watanganyika kutuwekea mwanamke toka nchi jirani ya Zanzibar atutawale. Mzanzibari huyu ameleta Wazanzibari wenzake wameua maelfu ya Watanganyika na hakuna mwanaccm anaonekana kujali wao wanashangilia ushindi wa mazingaombwe wa 98%, naunga mkono Samia atoswe tunataka Marc 17 2026 aapishwe Rais wa mpito atakayetupatia Katiba mpya ya wananchi na siyo ya wanasiasa.Sisi ccm Huwa tunajivua gamba!mwl Nyerere aliandika tujisahihishe,
Kwasasa kushupaza shingo ni hatari sana kwetu Bora Yona atoswe TU!
Kupoza maumivu yetu sie wahanga ni serikali ya mpito tu ,kama kugombea watagombea huko , hivi yupo kiongozi yoyote kuanzia juu ,kwenye vyombo vya usalama walio juu watoto waho wameuliwa ?Damu ya watz imeshamwagika na sio Siri tena!!
Pua za watanzania zimeshanusa damu tayari na miili yao imekufa ganzi,ganzi ya kuwa tayari kwenda Kwa baba kama ndugu zao walivyoenda!
Kuna watanzania Kwa Sasa wanasubiri TU parapanda ilie waende coz wameshakata tamaa ya kuishi baada ya maumivu Yale ya Mo29.Dola ijiandae kumwaga Tena damu za maelfu Kwa mara nyingine kama mkiendelea kutumia akili za kijima ku deal na mawazo mbadala kama mnavyojionyesha!
Hakuna namna nyingine zaidi ya kuwajibika Kwa mwenyekiti kuonyesha kwamba ameguswa na damu iliyomwagika ,Mzee mwinyi aliwahi kufanya hivyo,Lowasa nae mnaweza kuongeza list!
Kuendelea kushupaza shingo ni kuwa tayari kumwaga damu Kwa mara nyingine na kuwapa maadui zetu mpenyo was kuingia nchini na ku destabilize uchumi plus mindombinu pamoja na ulinzi was nchi yetu!!
Kama ni dola bado tunayo kama chama na serikali namna pekee ni mwenyekiti ku step down kama mwenyekiti wa chama na makam wake awe mwenyekiti halafu mkutano mkuu uje na maazimio kwamba mjumbe wa cc ameshauriwa aachie ngazi katika nafasi ya chama na serikali kutokana na hitilafu za kiutendaji za jeshi la polisi na hapo makam naweza kuitisha maridhiano na vyama vya siasa na asasi za kiraia!
Hii itaisaidia serikali na chama na hasira za watz zaweza walau kupoa Kwa muda ili kupisha mageuzi yanayohitajika!!
No Bora tukawa na katiba ya serikali ya mseto kuliko kukumbatia mbinu za kijima kulazimisha ushindi nyakati za uchaguzi!!
Haha ni mawazo yangu binafsi na mawazo hayapigwi Rungu!!
Kama sanctions za kimataifa zikiendelea kama hivyo mjue tutashindwa kuiongoza serikali na tutawekwa triangle 📐 kimataifa tutashindwa vibaya mno kama Zimbabwe uchumi wake ulivyo anguka!!
KAZI na utu,tusonge mbele kiistarabu Sasa baada ya hitilafu zilijitokeza kuonekana!
Adui unayemuweza malizana naye usimuachie Mungu, polisi ndiyo wameua ndugu zetu hawa ndiyo wa kudeal nao moja kwa moja hata kwa sumu wao na familia zaoKupoza maumivu yetu sie wahanga ni serikali ya mpito tu ,kama kugombea watagombea huko , hivi yupo kiongozi yoyote kuanzia juu ,kwenye vyombo vya usalama walio juu watoto waho wameuliwa ?
Leo nimeamua kuanza mfungo wa siku 94 kwa ajili ya vijana wangu , malipo ni hapa duniani mbinguni ni hesabu
Iyo ni moja ,tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu kuwa katika mfungo ipo na maana nyingi ,moja nikujitakasa kiroho na mwili ,Adui unayemuweza malizana naye usimuachie Mungu, polisi ndiyo wameua ndugu zetu hawa ndiyo wa kudeal nao moja kwa moja hata kwa sumu wao na familia zao
kuongozwa na raia wa kigeni, ndio tatizo. Uchungu wa damu juu ya ardhi ya kigeni utatoka wapi? auShida ya kuongozwa na zero brain, anatumia nguvu kubwa kuliko akili