johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni Magufuri ndio amekuja kuharibu kila kitu,ila kioindi cha nyuma mbona CCM walikuwa wanashindwa na Wakurugenzi ndio walikiwa wakisimamia uchaguzi.Bunge lina Wabunge wa CCM kwa zaidi ya 98% so hakuna muswada wowote wa kuitia kitanzi CCM utakaopitishwa.
Ni mjinga tu anayeamini CCM itawaondosha Wakurugenzi wa Halmashauri na Walimu kwenye kusimamia Uchaguzi na kuhesabu kura hasa ukizingatia CCM iko Kwenye hatua ya Mwisho ya Product Life Cycle.
Kama vyama Vya upinzani vimeshindwa kupigania Katiba mpya ni heri viungane tu na CCM kwenye Utaratibu wa Nusu Mkate.
Jumaa Mubarak [emoji1][emoji91]
Siku mtakayokubali kuwa Mwamba hayupo tena ulimwenguni, ndio siku mtakayo pumzika kuteseka INGAWA kovu haliponi.Ni Magufuri ndio alivuruga
wewe ni nani unayesema as if unao ufunguo wa kuruhusu nini kifanyike na nini kisifanyike, kama mjinga ndiye anaamini wakurugenzi na walimu wataondolewa kusimamia uchaguzi, basi mpumbavu ni yule anayedhani ccm wataendelea kutawala na kufanya lolote kama wanavyotaka..wewe si ni kipofu, pigia mstari mwisho wa ccm unakuja!Bunge lina Wabunge wa CCM kwa zaidi ya 98% so hakuna muswada wowote wa kuitia kitanzi CCM utakaopitishwa.
Ni mjinga tu anayeamini CCM itawaondosha Wakurugenzi wa Halmashauri na Walimu kwenye kusimamia Uchaguzi na kuhesabu kura hasa ukizingatia CCM iko Kwenye hatua ya Mwisho ya Product Life Cycle.
Kama vyama Vya upinzani vimeshindwa kupigania Katiba mpya ni heri viungane tu na CCM kwenye Utaratibu wa Nusu Mkate.
Jumaa Mubarak ππ₯
Leo umeamkia wapi?Bunge lina Wabunge wa CCM kwa zaidi ya 98% so hakuna muswada wowote wa kuitia kitanzi CCM utakaopitishwa.
Ni mjinga tu anayeamini CCM itawaondosha Wakurugenzi wa Halmashauri na Walimu kwenye kusimamia Uchaguzi na kuhesabu kura hasa ukizingatia CCM iko Kwenye hatua ya Mwisho ya Product Life Cycle.
Kama vyama Vya upinzani vimeshindwa kupigania Katiba mpya ni heri viungane tu na CCM kwenye Utaratibu wa Nusu Mkate.
Jumaa Mubarak ππ₯
Tuko Rombo tunajadili kwanini jimboni kwa Waziri wa Elimu Watoto wamegoma kuanza darasa la kwanzaLeo umeamkia wapi?
Wale Majenerali watusaidie kuondoa ili genge la Wahuni lililo pola chama cha Wakulima na Wafanyakazi na kukigeuza chama cha Wafanyabiashara ya siasa then baadaye ndiyo tuje tuunde katiba mpya itakayo kuwa na muafaka wa kitaifa.Bunge lina Wabunge wa CCM kwa zaidi ya 98% so hakuna muswada wowote wa kuitia kitanzi CCM utakaopitishwa.
Ni mjinga tu anayeamini CCM itawaondosha Wakurugenzi wa Halmashauri na Walimu kwenye kusimamia Uchaguzi na kuhesabu kura hasa ukizingatia CCM iko Kwenye hatua ya Mwisho ya Product Life Cycle.
Kama vyama Vya upinzani vimeshindwa kupigania Katiba mpya ni heri viungane tu na CCM kwenye Utaratibu wa Nusu Mkate.
Jumaa Mubarak [emoji1][emoji91]
Acha ujinga, watoto wanasoma private na wengine wanasoma Kenya hasa kata ya Tarakea MotamburuTuko Rombo tunajadili kwanini jimboni kwa Waziri wa Elimu Watoto wamegoma kuanza darasa la kwanza
Jimbo zima Watoto Watatu tu ndio wameripoti kuanza STD 1 πππ₯
Kwanini tusitumie technolojia kwenye uchaguzi mtu akipiga kura aione imeenda wapi?Magufuli, Magufuli..Magufuli was not God, where is he now...yeye peke yake hawezi kuharibu uchaguzi, na wala ccm hawana uwezo kuharibu uchaguzi, wanaoharibu uchaguzi wapo siku zote na kwa sababu za ujinga na ufinyu wa akili wa kutotaka kuwajua ndio maana wanaharibu uchaguzi kila unapotokea na kwa kiwango wanachotaka.
Tena kubwa snMAGUFULI ana nafasi kubwa katika huu upuuzi.
Bunge lina Wabunge wa CCM kwa zaidi ya 98% so hakuna muswada wowote wa kuitia kitanzi CCM utakaopitishwa.
Ni mjinga tu anayeamini CCM itawaondosha Wakurugenzi wa Halmashauri na Walimu kwenye kusimamia Uchaguzi na kuhesabu kura hasa ukizingatia CCM iko Kwenye hatua ya Mwisho ya Product Life Cycle.
Kama vyama Vya upinzani vimeshindwa kupigania Katiba mpya ni heri viungane tu na CCM kwenye Utaratibu wa Nusu Mkate.
Jumaa Mubarak ππ₯
Siku mtakayokubali kuwa Mwamba hayupo tena ulimwenguni, ndio siku mtakayo pumzika kuteseka INGAWA kovu haliponi.
Ni hivi, mimi binafsi, kama nisipoingia Jamii forums, nikaona HEADINGS za chawa, huwa sina taarifa yoyote ile ihusuyo serikali na kizimkazi, sisikii popote pale!
Enzi za mwamba, sihitaji simu wala runinga kujua yanayoendelea serikali na kwa mwamba, nikitoka nje ya nyumba tu, wananchi wanazungumza na wako well informed.
Kwa sasa, sio tu hawana taarifa, ila hawana hata interest na taarifa zenyewe; chawa inabidi wapige kampeni ya kuelezea na kueneza habari ambazo hazina hata uhalisi na hivyo kutokuwa na mvuto!
Inabidi zibandikwe na kusambaza picha ili kulazimisha wananchi kuona na kumfahamu kizimkazi, wampende kwa lazima; bahati mbaya sioni huo muitikio huku kijijini kwetu.
Wale mabingwa wa kutangaza DENI LA TAIFA enzi zile, saa hii nasikia wengine wanatangaza KUSTAAFU, maana lililopo enzi hii, ni KUFURU.
Bajeti halisi ya kisiwa haizidi bilioni 500, ambapo walikuwa hawazipati zote mpaka mwaka unaisha, UNAENDA KUCHUKUA MKOPO, unampa bilioni 400 kwa pamoja KISHA unamsifia anafanya maendeleo? Ulitaka afanyie nini hizo pesa ambazo hawajawahi kuzigumia kwa pamoja?
Maisha yapo huku chini, katika population ya watu 62m, ni watu wasiozidi 10m ndio wenye kufanya kazi, biashara, siasa, ufisadi, wizi n.k ambapo 7m wapo Dar; watumishi wakiwa hawafiki 1m.
Watu takribani 50m hawana access na sh 2000 kwa siku, watu wasiozidi 6m wanagawana trilioni 36 kwa mwaka!
Hakuna kinachoendelea chini ya hii FREE BOAT style of governing.
Itoshe kusema, sisi bodaboda, unafuu wetu ulikuwa enzi za MWAMBA, ninyi WAKWAPUAJI, ugumu wenu ulikuwa enzi MWAMBA.
DED kasema Watoto wanapalilia migomba na kulisha nguruweAcha ujinga, watoto wanasoma private na wengine wanasoma Kenya hasa kata ya Tarakea Motamburu
Watanganyika wamekusikiaCovid 19 ilifanya kazi kubwa na nzuri March 9 ,2021 na umma kufahamishwa March 17 , 2021
Kazi imebaki kwa watanzania kukamilisha na kufuta mpango ule haramu uliokuwa umesukwa October 28, 2020.