OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Niliwahi kuleta uzi kuwa tunahitaji raisi mwendawazimu atakayeweza kukata tawi alilokalia atuletee katiba mpya maana mtu mwenye akili timamu hasa hasa mwana CCM hawezi kufanya huo ujinga wa kukuletea katiba mpya cha ajabu kwenye huo uzi wachangiaji walikuwa wawili tu, ndio maana mpaka leo huwa siingii jukwaa la siasa maana naona watu hawana uwezo kuona vitu rahisi kabisa kama hivi wapo miaka nenda rudi wanapoteza muda, hamieni kwenye mpira tu huko ndo kuna matumaini.