Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu
Kenya ipi? Hii ambayo tumeshaipita kwenye Export za Intra Africa na Raisi wao kukiri?Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu
that's pure nonsense gentlemanHatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu

that's pure nonsense gentleman![]()
We bwege nani amekuambia Kenya ni tajiri? Sazingine bora ukae kimyaHatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu
Tajiri kuliko sisi 😂 sasa unataka tujilinganishe na nani🤦🏾♂️ huyu Mama wa rojo alivyo Uganda miaka miwili tu watatupita na mafuta. Mama rojo anatafuta waarabu wa kuwauzia kila kitu cha baraWe bwege nani amekuambia Kenya ni tajiri? Sazingine bora ukae kimya
Wasiwasi wangu ni je kweli tutapata katiba mpya inayozingatia maslai ya Taifa? Maccm yamejazana huko na waangaliacho ni matumbo yaoHatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu
Na matajiri akina MO wanaishi kwenye nchi yenye katiba mpya? Katiba inamzuia mwananchi kufanya kazi?Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu