Tanzania kama nchi haiwezi kuweka mipango kwa kutegemea kodi, tozo za nchi nyingine kama msaada wakati sisi wenyewe hatujiendelezi na nchi haina uzalishaji.
Serikali inajaribu kuwekeza kwenye kilimo lakini watu hawataki kulipa kodi wala tozo sasa ni mpaka lini tutategemea pesa za misaada wakati tuna vijana wengi hawana kazi? Hata kama tunataka wawekezaji waje ni lazima tuwekeze kwenye miundo minu ambayo inaweza kuendelea bila kutegemea vitu kama mvua.
Lazima tukubali kuna kaya zetu ambazo hazizalishi chochote na kubaki kubangaiza tu kwasababu ya utamaduni wa kutokujituma. Lakini kuna kaya zinapiga kazi kwelikweli sasa kama nchi tuanze kuulizana kila mmoja tunafanya nini? Kama kuna watu hawazalishi tujue ni hasara kwa wote!
Hii misaada ya afya kwa mfano tunayopata ni kodi za wenzetu huko nje wakati tuna kila kitu. Tozo na kodi ni lazima kwa maendeleo yetu