Jabirimakame
Member
- Jan 15, 2014
- 71
- 37
- Thread starter
- #21
Moja ya vyanzo vya mapato ya serikali ya muungano itakuwa ni michango kutoka nchi washirika. Kwa rasimu hii ina maana tanganyika na zanzibar zitakuwa na hadhi sawa. Je kwenye kuchangia tutachangia sawa au tanganyika ndiyo itakayobeba gharama kubwa?