Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Yani kama huna pesa anakununia na wewe bado tu ukawa naye?we jamaa bana jinga kabisa
Bora kuwa mjinga kuliko mpumbavu. Mjinga hajui huyu ukimuelewesha anaelewa ila mpumbavu hata ulimuelewesha bado anashikilia ujinga wake. Muhinu mwanetu katoka kwenye mdomo wa mamba
 
Shida ni moja, kizazi cha watoto wa kiume kuanzia mwaka 1999 kurudi nyuma kimeaminishwa kuwa wanawake ndio daraja la pekee la mafanikio lilipo kati ya future ya mtoto wa kiume na alipo.

Wanaaminishwa kuwa mwanamke ndie anayekuja na funguo za maisha yake ya mafanikio. Kwamba mtoto wa kiume ambaye ana mshahara wa laki tano au milioni au anapiga mishe zake binafsi zinazomlipa 40,000 per day hawezi kujikimu mwenyewe na kujijenga kimaisha na kupanga mipango yake binafsi na kuisimamia bila mwanamke pembeni.

Huu ndio ulemavu wa fikra jamii inayoendeshwa na mawazo ya mafenist imemjaza "Boy child" uoga wa maisha bila mwanamke wakati huo sio uhalisia. Wanajua siku "boy child" akicrack code ya kuishi maisha nje ya mfumo wa Ndoa na akifanikiwa kutoboa utakuwa ndio mwanzo wa ndoa kutokuwa kipaumbele na wanawake wataishi kwa kujitegemea gharama bila msaada wa mwanaume kwa lolote kwa 100% jambo ambalo hata wa huko ulaya wameshindwa na wanakazi nzuri na mishahara mizuri.
Sure mkuu, tumetungiwa mpaka misemo eti nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke., wakati ukicheki uyo mwanamke mwenyewe anacho-provide ni K ambayo unaweza kwenda kununua hata dada poa kitambaa cheupe
 
Wewe piga injili mkuu sisi wadhamini tupo

Tutabidi tutafute namna jf meet party ijao kuwe na ka section kako binafsi ka kuendeleza kutandaza elimu hii adhimu😂

Naona umekuja kama mpakwa mafuta ya kutangaza neno injili iwakae kwa roho

Tupe maneno buldoza

Wakaange hasa😂
😀😀😀 masia au sio
 
Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sala za mama yake.

Ali ongea jamaa mmoja jf
😀😀😀 wanatutungia vimisemo vyao vya ajabu ajabu ili wale hela zetu kirahisi rahisi, tumewashtukia.
 
Leo Nme sikitika sana mdada wa 26 hana kazi yupo home tu kuomba 150k nika jua ya kufanyia issue ya maana .ana kuja kusema niya nguo ,wig na zawadi kwa ajiri ya harusi 🥲🥲🫡🫡
Dah.! Ukampa?
 
Back
Top Bottom