Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Yani kama huna pesa anakununia na wewe bado tu ukawa naye?we jamaa bana jinga kabisa
Bora kuwa mjinga kuliko mpumbavu. Mjinga hajui huyu ukimuelewesha anaelewa ila mpumbavu hata ulimuelewesha bado anashikilia ujinga wake. Muhinu mwanetu katoka kwenye mdomo wa mamba
 
Sure mkuu, tumetungiwa mpaka misemo eti nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke., wakati ukicheki uyo mwanamke mwenyewe anacho-provide ni K ambayo unaweza kwenda kununua hata dada poa kitambaa cheupe
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ masia au sio
 
Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sala za mama yake.

Ali ongea jamaa mmoja jf
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wanatutungia vimisemo vyao vya ajabu ajabu ili wale hela zetu kirahisi rahisi, tumewashtukia.
 
Leo Nme sikitika sana mdada wa 26 hana kazi yupo home tu kuomba 150k nika jua ya kufanyia issue ya maana .ana kuja kusema niya nguo ,wig na zawadi kwa ajiri ya harusi πŸ₯²πŸ₯²πŸ«‘🫑
Dah.! Ukampa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…