SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kuna watu wanashupaza shingo zao hadi zinakaribia kukatika na wengine wanajipa matumaini hewa kuwa labla katimu kao ambako kanaenda kama gari bovu kanaweza kuchukua ubingwa wowote msimu huu. Huku ni kujipa magonjwa ya moyo na sonona bila sababu ya msingi. Niwatoe matumaini wale wote wenye matumaini kama haya.
Haiwezekani timu ambayo inabadili makocha zaidi ya mimi ninavyobadili boksa ije kuwa bingwa. Hilo halitakuja kutokea asalani abadani alamsiki.
Katika pwenti 7 Simba ilizopoteza mpaka sasa, pwenti 5 imepoteza kwa magoli ya kujifunga na 2 kwa makosa ya Camara (tena ni 5 kama utajumuisha na derby). Hakuna mechi msimu huu ambayo Simba imepoteza pwenti 2 au 3 kwa kuzidiwa mchezo.
Simba bingwa (Treble ya kwanza kwenye historia ya Tanzania):

- NBC Premiere League 2024-25
- TFF Shirikisho (CRDB Cup) 2024-25
- CAFCC 2024-25