Hauhitaji PHD kuelewa hichi

Hauhitaji PHD kuelewa hichi

Anti-tozo

Member
Joined
May 23, 2015
Posts
56
Reaction score
56
Moja ya sera moja nilicheka cheka sana eti walifanya intoduction ya kodi ya miamala ya simu ku discourage the use of cash so moja ya kazi ya hii kodi ni watu wafanye malipo bila kutumia cash nikajiuliza huyu mwigulu does he know principle za economics kweli?
 

Attachments

  • Hanspaul.mp4
    5.5 MB
Back
Top Bottom