Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #41
Umri ni kigezo kikubwa sana iyo 30 nimeitaja kama wakati ambao thamani ya mwanamke inaanza kushuka na ya mwanaume inaanza kupanda, usisahau kwamba kupanda uko kwa thamani mwanaume unatakiwa kupambana, sio eti uwe mzembe utegemee utakapofika 30 thamani yako itakua juu au itaanza kupanda tu automatically.Umri sio kigezo, una settle na mtu unayempenda. 30 haina shida wala.
Hii theory ya sexual market value inatumika sana na wanaume wenye vinyongo vya kukataliwa.
Umri na mvuto ni vigezo ambavyo hata havihusiani kama vipi tupige kura hapa tuone kama wanaume wa over 30 wanatongozwa na wanawake 24/7 au kama wanawake wa over 30 wanaonekana ni majini.
Tuchukue mfano wa shilole na vunjabei. Ukirudisha miaka yao nyuma wakiwa wakiwa 20s bila shaka thamani ya shilole ilikua kubwa kwa sababu alikua bado binti mbichi wakati vunja alikua bado anazitafuta lakini leo hii ukiwaweka kwenye dating market hawa wawili utaona thamani za zime-switch oppositely.
Sio rahisi Shilole kumpata mwanaume mwenye mafanikio katika age yake ndio maana kimbilio lake ni vijana wadogo wakati vunja kumpata binti wa 18-22 ni suala rahisi.
Nature inamuhukumu shilole kutokana na muda wakati inamuhukumu vunja kutokana na mafanikio