Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

Umri sio kigezo, una settle na mtu unayempenda. 30 haina shida wala.

Hii theory ya sexual market value inatumika sana na wanaume wenye vinyongo vya kukataliwa.

Umri na mvuto ni vigezo ambavyo hata havihusiani kama vipi tupige kura hapa tuone kama wanaume wa over 30 wanatongozwa na wanawake 24/7 au kama wanawake wa over 30 wanaonekana ni majini.
Umri ni kigezo kikubwa sana iyo 30 nimeitaja kama wakati ambao thamani ya mwanamke inaanza kushuka na ya mwanaume inaanza kupanda, usisahau kwamba kupanda uko kwa thamani mwanaume unatakiwa kupambana, sio eti uwe mzembe utegemee utakapofika 30 thamani yako itakua juu au itaanza kupanda tu automatically.

Tuchukue mfano wa shilole na vunjabei. Ukirudisha miaka yao nyuma wakiwa wakiwa 20s bila shaka thamani ya shilole ilikua kubwa kwa sababu alikua bado binti mbichi wakati vunja alikua bado anazitafuta lakini leo hii ukiwaweka kwenye dating market hawa wawili utaona thamani za zime-switch oppositely.

Sio rahisi Shilole kumpata mwanaume mwenye mafanikio katika age yake ndio maana kimbilio lake ni vijana wadogo wakati vunja kumpata binti wa 18-22 ni suala rahisi.

Nature inamuhukumu shilole kutokana na muda wakati inamuhukumu vunja kutokana na mafanikio
 
When men are talking, kurusha tuhuma bila kuwa na ushahidi ni tabia za kike, huyo Andrew tate ushawahi kumsikia akisema hivo?? Huyo Kevin Samuels ushawahi kumsikia akisema hivo? Niletee proof.

Knowledge nilitoa hapo juu nimeitoa kwa mwanamama mmoja msaikolojia anaitwa Sadia Khan, and it's scientific, sasa mimi na wewe nani ana nadharia za rejareja??
View attachment 3097344
Sawa,

waje wajitetee wenyewe hao wadada
 
Good brother Natafuta Ajira

Swali kwako na kwa wanajukwaa, How do you know if a woman is a retired whore??
Cha kwanza kuwa singlemother, mwanamke yamfaa apate mume kwanza ndipo apate mtoto na si kinyume chake. Cha pili ni umri, mwanamke anakuwa kwenye kilele cha ubora wake akiwa 18-22. Hapa ndipo wanawake wengi wanajizima data hadi wakifika kwenye 30-40 ndipo akili zinawarudia. Ukitaka kufurahia ndoa oa msichana uliyemkuta bikira! hawo wengine hata wakiwa wazuri kama jini lakini siyo bikira wawe ni kwaajili ya kujirusha, kufanyia mazoezi ili kujipatia uzoefu.
 
When men are talking, kurusha tuhuma bila kuwa na ushahidi ni tabia za kike, huyo Andrew tate ushawahi kumsikia akisema hivo?? Huyo Kevin Samuels ushawahi kumsikia akisema hivo? Niletee proof.

Knowledge nilitoa hapo juu nimeitoa kwa mwanamama mmoja msaikolojia anaitwa Sadia Khan, and it's scientific, sasa mimi na wewe nani ana nadharia za rejareja??
View attachment 3097344
Kuna uwezekano comment yako ikawa imempiga jamaa kwenye weak spot ndio maana anapambana kuku-prove wrong. Ni kawaida yetu waafrika kutokubaliana na ukweli mchungu
 
Virginity anaweza kukudanganya, mm mwenyew nilidanganywa, bahati nzuri sikuwa hata na mpango nae.

Another thing is Virginity takes time to know, the only way to know is through having sex maana sikuiz wanadanganya kama nilivosema hapo awali.

Mi nadhani background check is the best early option
Background check akikuficha utafanyaje ,Sema nn Tupige magoti Tumuombe Sir before kuchagua Sema Wana tuna yumba tunachagua Kwanza ndo tunamuomba Mwenyezi
 
Umri ni kigezo kikubwa sana iyo 30 nimeitaja kama wakati ambao thamani ya mwanamke inaanza kushuka na ya mwanaume inaanza kupanda, usisahau kwamba kupanda uko kwa thamani mwanaume unatakiwa kupambana, sio eti uwe mzembe utegemee utakapofika 30 thamani yako itakua juu au itaanza kupanda tu automatically.

Tuchukue mfano wa shilole na vunjabei. Ukirudisha miaka yao nyuma wakiwa wakiwa 20s bila shaka thamani ya shilole ilikua kubwa kwa sababu alikua bado binti mbichi wakati vunja alikua bado anazitafuta lakini leo hii ukiwaweka kwenye dating market hawa wawili utaona thamani za zime-switch oppositely.

Sio rahisi Shilole kumpata mwanaume mwenye mafanikio katika age yake ndio maana kimbilio lake ni vijana wadogo wakati vunja kumpata binti wa 18-22 ni suala rahisi.

Nature inamuhukumu shilole kutokana na muda wakati inamuhukumu vunja kutokana na mafanikio
Kuzeeka kwa me na ke kunavyotofautiana ni kama wine na nyanya.
 
Kuna uwezekano comment yako ikawa imempiga jamaa kwenye weak spot ndio maana anapambana kuku-prove wrong. Ni kawaida yetu waafrika kutokubaliana na ukweli mchungu
Haya mambo yanachanganya sana

Anaweza akawa 30, ame 'party' sana lakini akatulia

Na anaweza kuwa bikra lakini akaanza ku 'party' akiwa na wewe
 
Baada ya kutumia kipindi cha maisha yako kujijenga, kuvuja jasho usiku na mchana, sasa umejipata au umeanza kuona mwngaza basi usifanye kosa la kuwa retirement plan ya mwanamke mpumbavu ambae prime yake aliitumia kufanya umalaya in the name of "having fun"

All women told themselves "i am living my best life" in their 20s, will come looking for you when they have been aged, demaged and are no longer find attention like before.

Watakuja na misemo yao " nimebadilika", "maisha yamenifundisha", "sasa hivi nipo tayari kutulia" n.k. usidanganyike ukweli ni kwamba tayari washachoka. Baada ya kupigwa na mvua, jua, dhoruba, vimondo n.k sasa wanatafuta sehemu salama ya kutua, usikubali kufanywa fala.

Hauja-hustle ili uje kuwa mkombozi wa mwanamke yoyote hapa duniani aparty from ndugu zako.

Haupo hapa duniani ili uje kuwa mkombozi na tulizo la mwanamke mpumbafu. Hustles zako zinastahili kuwa na mwanamke mwenye thamani kubwa, mwanamke aliyeitunza bikira yake, mwanamke anahejiheshimu.

Ukweli ni kwamba wanawake wenye thamani kubwa ni wachache, sana sana kwenye hiki kizazi chetu lakini wanastahili kusubiriwa, wala usiwe na papala.

Tupo katika kizazi chenye wanawake wengi wapumbavu ambao wanafikiri baada ya kuitumia 20s yao kutembea nusu uchi, kuwabadilisha wanaume, na kufanya umalaya wa kila aina, wanaweza kusema tu wamebadilika na wakampata mwanaume mwema wa kutulia nae. Don't be a dump fool to fall for that trap.

Your are not here to be backup plan, you are not here to save a woman from the consequences of her poor decision. She disrespected herself in her 20s, don't let her manipulate you that she suddenly transform into the wife material you deserve, the trust is she hit the wall and she is run out of other options.

After you reach your prime go for the high value woman who knows what it means to be feminine, virgin and respecting herself, a woman who value your leasdrship as a man. You haven't work hard, sacrificed too much to waste all of it on a demaged woman who only sees you as a retirement plan.

Demand value because that is what you have been spent your whole life building it, so that is what you deserve in return
Hao ni mataperi wa hisia ,na hawana mbele wala nn....
 
Ukweli ni kwamba wanaume wengi hamstahili kutulia na wanawake wakiwa kwenye prime age, wengi mnastahili kutulia na wanawake wakiwa the so called 'malaya' na 'washachoka', ndege wafananao huruka pamoja huwezi kupanda magugu ukategemea uvune mpunga
 
Usiogope hawawezi kuwa uniform 😀😀😀
Si unaona mlivyo wanafiki yani nilitegemea utasema kama wanawake wote wakijitunza basi na wanaume itabidi wawe tayari kujitunza sababu watakosa wanawake wa kuzini nao, badala yake unasema eti hawawezi kuwa uniform sasa kama unajua hawawezi kuwa uniform kwanini mnajisumbua kuanzisha nyuzi za kutaka wanawake wabadilike au huwa mnawalenga wanawake wa sayari nyingine, yani mnataka wanawake wajitunze hadi ndoa wakati huo huo mnataka wanawake wa kuzini nao kabla ya ndoa sasa mnategemea watoke wapi ilihali watakuwa wanajitunza wasipojitunza wanasimangwa
 
Sipo hapa kufundisha maadili, nipo hapa ku-unlock code kila mmoja afanye maamuzi akiwa anazijua potential consequences na anajua yeye ndie atakabiliana nazo. Mwanamke akiwa mapepe ilo sio tatizo langu na kama akiniletea mbususu nitaichakata na sitamuoa.
 
Back
Top Bottom