Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Baada ya kutumia kipindi cha maisha yako kujijenga, kuvuja jasho usiku na mchana, sasa umejipata au umeanza kuona mwngaza basi usifanye kosa la kuwa retirement plan ya mwanamke mpumbavu ambae prime yake aliitumia kufanya umalaya in the name of "having fun"

All women told themselves "i am living my best life" in their 20s, will come looking for you when they have been aged, demaged and are no longer find attention like before.

Watakuja na misemo yao " nimebadilika", "maisha yamenifundisha", "sasa hivi nipo tayari kutulia" n.k. usidanganyike ukweli ni kwamba tayari washachoka. Baada ya kupigwa na mvua, jua, dhoruba, vimondo n.k sasa wanatafuta sehemu salama ya kutua, usikubali kufanywa fala.

Hauja-hustle ili uje kuwa mkombozi wa mwanamke yoyote hapa duniani aparty from ndugu zako.

Haupo hapa duniani ili uje kuwa mkombozi na tulizo la mwanamke mpumbafu. Hustles zako zinastahili kuwa na mwanamke mwenye thamani kubwa, mwanamke aliyeitunza bikira yake, mwanamke anahejiheshimu.

Ukweli ni kwamba wanawake wenye thamani kubwa ni wachache, sana sana kwenye hiki kizazi chetu lakini wanastahili kusubiriwa, wala usiwe na papala.

Tupo katika kizazi chenye wanawake wengi wapumbavu ambao wanafikiri baada ya kuitumia 20s yao kutembea nusu uchi, kuwabadilisha wanaume, na kufanya umalaya wa kila aina, wanaweza kusema tu wamebadilika na wakampata mwanaume mwema wa kutulia nae. Don't be a dump fool to fall for that trap.

Your are not here to be backup plan, you are not here to save a woman from the consequences of her poor decision. She disrespected herself in her 20s, don't let her manipulate you that she suddenly transform into the wife material you deserve, the trust is she hit the wall and she is run out of other options.

After you reach your prime go for the high value woman who knows what it means to be feminine, virgin and respecting herself, a woman who value your leasdrship as a man. You haven't work hard, sacrificed too much to waste all of it on a demaged woman who only sees you as a retirement plan.

Demand value because that is what you have been spent your whole life building it, so that is what you deserve in return
 
Ila mkuu kumbuka binaadamu sio kama ngombe binaadamu hubadilika people reform......Obama alishawshi kua mvuta bangi ila akaja kua Raisi wa nchi kama US.
 
Katika nyakati ambazo nimekuwa napitia za kimahusiano.. Wanaume wengi tunapata changamoto kwasababu tunaanzisha mahusiano au kuingia kwenye ndoa na wanawake ambao sio wetu, na matokeo yake ndio kutaabishana .. Ila kama utakuwa kwenye mahusiano na mtu ambae wako.. utaona utamu wa mwanamke na uzuri wake..

Wanaume kama tumewekewa option mbili mbele yetu, mwanamke mmoja wako na mwingine sio wako.. Ni kama tumewekewa baraka na laana.. ila wengi tunachagua laana 😅😅😂....
 
Usifanye kosa la kumuonea huruma mwanamke, judge her harshly based on her past.

Kumbuka ukifika wakato wa kuchagua kimoja kati ya wewe au masilahi yake basi mwanamke hatokuonea huruma, hatojari hisia zako, she will dump you ruthless, determined and emotionless
 
Ila mkuu kumbuka binaadamu sio kama ngombe binaadamu hubadilika people reform......Obama alishawshi kua mvuta bangi ila akaja kua Raisi wa nchi kama US.
Kwann una gamble kwa mwanamke ambaye ana question mark, wakati kuna wanawake wazuri wapo ambao hawajawahi kushusha thamani yao??

Sikuzote huwa nasemga sisi wanaune tuna matatizo, linapokuja kwenye swala la biashara au kazi hatuna mchezo tuna choose the best option possible, lakini linapokuja swala la mwenzi wa maisha tunachukulia poa tunachagua holea-holela kama vile sio maisha yetu
 
Virginity, background check
Virginity anaweza kukudanganya, mm mwenyew nilidanganywa, bahati nzuri sikuwa hata na mpango nae.

Another thing is Virginity takes time to know, the only way to know is through having sex maana sikuiz wanadanganya kama nilivosema hapo awali.

Mi nadhani background check is the best early option
 
Katika nyakati ambazo nimekuwa napitia za kimahusiano.. Wanaume wengi tunapata changamoto kwasababu tunaanzisha mahusiano au kuingia kwenye ndoa na wanawake ambao sio wetu, na matokeo yake ndio kutaabishana .. Ila kama utakuwa kwenye mahusiano na mtu ambae wako.. utaona utamu wa mwanamke na uzuri wake..

Wanaume kama tumewekewa option mbili mbele yetu, mwanamke mmoja wako na mwingine sio wako.. Ni kama tumewekewa baraka na laana.. ila wengi tunachagua laana 😅😅😂....
Mapenzi ni mchezo wa hila na unafiki. Anayejua kuigiza ndiye anaonekana ana mapenzi ya kweli.

Mkuu, ni ngumu kumjua mwanamke wako na ambaye siye wako. Maigizo yamekua mengi siku hizi
 
Huyu jamaa kuna wakati namwelewa sana hasa hiki kipengele cha options ukweli mchungu ni kuwa mwanamke ikifikia hatua ya kuchagua wewe au maslahi yake bila kupepesa macho atachagua maslahi na ikitokea maslahi yake yameenda ndivyo sivyo bado anakua na ujasili wa kurudi kwako kama option kwa kisingizio cha kuomba msamaha
 
Robert Downey jr. alikuwa teja lakini sasa ni moja ya waigizaji wakubwa duniani.
Nadhani nishawahi kusemaga humu kwamba;
The value of a man is in his future
The value of woman is in her past

Hivi unajua kwamba, jinsi mwanamke anavozidi kulala na wanaume wengi ndivo anavopoteza ule uwezo wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja, sex for woman is an emotional connection....

Leo ngoja niishie hapo
 
Back
Top Bottom