Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

Uungwana ni kwamba uki copy andiko la mtu ni vyema kumu acknowledge mwenye andiko lake huku wewe ukitimiza wajibu wako wa kufikisha ujumbe kusudiwa......
Kumbe anacopy na kupaste mbwiga huyu??
Kapeace Jadda binti kiziwi mahi wetu anatukausha ubongo kwa kuiba maandiko ya watu…
Unajua mwanzo nilikuwa namuonea huruma labda kuna bint sayuni mwenzetu kampiga tukio so hasira anamalizia kwetu, kumbe anaigilizia mxiuuuuuu.!! 🤣🤣🤣
 
😅😅😅😅😅😅😅 Pole sana yatapita

ila huezi kua juu kwa kusema wenzio vibaya. unafaidika na nini

ipo siku watayajua mapungufu yako na wewe humu JF utaomba poo

na log out
 
Baada ya kutumia kipindi cha maisha yako kujijenga, kuvuja jasho usiku na mchana, sasa umejipata au umeanza kuona mwngaza basi usifanye kosa la kuwa retirement plan ya mwanamke mpumbavu ambae prime yake aliitumia kufanya umalaya in the name of "having fun"

All women told themselves "i am living my best life" in their 20s, will come looking for you when they have been aged, demaged and are no longer find attention like before.

Watakuja na misemo yao " nimebadilika", "maisha yamenifundisha", "sasa hivi nipo tayari kutulia" n.k. usidanganyike ukweli ni kwamba tayari washachoka. Baada ya kupigwa na mvua, jua, dhoruba, vimondo n.k sasa wanatafuta sehemu salama ya kutua, usikubali kufanywa fala.

Hauja-hustle ili uje kuwa mkombozi wa mwanamke yoyote hapa duniani aparty from ndugu zako.

Haupo hapa duniani ili uje kuwa mkombozi na tulizo la mwanamke mpumbafu. Hustles zako zinastahili kuwa na mwanamke mwenye thamani kubwa, mwanamke aliyeitunza bikira yake, mwanamke anahejiheshimu.

Ukweli ni kwamba wanawake wenye thamani kubwa ni wachache, sana sana kwenye hiki kizazi chetu lakini wanastahili kusubiriwa, wala usiwe na papala.

Tupo katika kizazi chenye wanawake wengi wapumbavu ambao wanafikiri baada ya kuitumia 20s yao kutembea nusu uchi, kuwabadilisha wanaume, na kufanya umalaya wa kila aina, wanaweza kusema tu wamebadilika na wakampata mwanaume mwema wa kutulia nae. Don't be a dump fool to fall for that trap.

Your are not here to be backup plan, you are not here to save a woman from the consequences of her poor decision. She disrespected herself in her 20s, don't let her manipulate you that she suddenly transform into the wife material you deserve, the trust is she hit the wall and she is run out of other options.

After you reach your prime go for the high value woman who knows what it means to be feminine, virgin and respecting herself, a woman who value your leasdrship as a man. You haven't work hard, sacrificed too much to waste all of it on a demaged woman who only sees you as a retirement plan.

Demand value because that is what you have been spent your whole life building it, so that is what you deserve in return
Mwanamke sahihi ni bikra tu
 
Watakuja na misemo yao " nimebadilika", "maisha yamenifundisha", "sasa hivi nipo tayari kutulia" n.k. usidanganyike ukweli ni kwamba tayari washachoka. Baada ya kupigwa na mvua, jua, dhoruba, vimondo n.k sasa wanatafuta sehemu salama ya kutua, usikubali kufanywa fala.
Mwingine aliyekula bata na wazungu hadi wakampakua mbele na nyuma ananiambia eti yeye akiamua kumpenda mtu hachepuki anakaa na mtu mmoja. Nikimwangalia kashachoka sana hata mwanaume wa kumtamani tena hakuna.

Anataka kuniganda baada ya kumaliza viwanja vyote swedeni, Australia, Kenya mpaka Ujerumani.

Namwangaliaa nasema hiiiii
 
Unajitahidi lakini hawa wenzako ni sikio la kufa,kaka yangu juzi kaleta single maza mwenye watoto wake wanne,wanakokotana hawajui ya leo wala kesho.Nasikia wameshibana maana mama yangu walimletea vitambi tu
Najua hata niandike threads 100 kwa siku siwezi kueleweka na kila mtu, katika safari ya kuelekea kaanani lazima tukubali ukweli kwamba kuna wenzetu tutawaacha njiani
 
Back
Top Bottom