Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kwamba mtoa mada n baby girl?Punguza shobo kwa wanaume
Wengi hawako siriazi na maishaNoma sana
Mwingine huyu huku, hayuko siriazi na maishaPunguza shobo kwa wanaume
Za ndani hizo?Kwamba mtoa mada n baby girl?
Walio serious wakoje?Mwingine huyu huku, hayuko siriazi na maisha
Endelea kupambanaHaina noma
Nikuulize ww mana ww ndo umesema aache shobo na wanaume, mtu atakuaje na shobo na wanaume kama yeye sio mwanamke?Za ndani hizo?
Sawa mkuuEndelea kupambana
Hawatoi pesa ya kucha, kope, nywele, nguo, chakula, gesi, vocha, kodi ya pango, na bandoWalio serious wakoje?
Mkuu heshima yako 🤝Noma sana
Tuma hela bhanaUnaomba appointment mtu anakuambia hana nauli, WTF!!
Vijana mna kazi sana!!
Mjukuu kama unakosa buku la bajaj bora tu ukae home maana tayari kidume kinawaza mengi juu yako.Tuma hela bhana
Usi ulize we pigia mstariNikuulize ww mana ww ndo umesema aache shobo na wanaume, mtu atakuaje na shobo na wanaume kama yeye sio mwanamke?