mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Alafu unamhudumia il nn upate nn hasara au
Babu unazeeka vibaya weweMjukuu kama unakosa buku la bajaj bora tu ukae home maana tayari kidume kinawaza mengi juu yako.
Ndio maana nasema umevaa tu koti jipya mjukuu😅😅😅Mkuu heshima yako 🤝
Myaka mingii
Kwahiyo nisisalimie😜😅Ndio maana nasema umevaa tu koti jipya mjukuu😅😅😅
klnachofuat anaenda kuishi ukwenKama unazaidi ya miaka 35 na bado unapambana na wanawake wanaotaka pesa ya kucha, kope, nywele, nguo, chakula, gesi, vocha, kodi ya pango, na bando; juwa hauko siriazi na maisha, badilika haraka hasana.
Koti jipya tu mjukuu, kama jose unamfaham vizuri basi wewe ni wa longi sana!Kwahiyo nisisalimie😜😅
Nilivyoingia last yearKoti jipya tu mjukuu, kama jose unamfaham vizuri basi wewe ni wa longi sana!