Haumwamini mwenzi wako au rafiki yako?

Kinachofurahisha mahali binadamu anahusika suala la faith liko hivi : Usipowaamini Unaukaanga moyo wako mwenyewe(kila siku ukiwaza wanaweza kukuzunguka)...Ukiwaamini unaishi kwa peace. Sasa action ni kwamba whether unawaamini ama huwaamini siku wakijaamua kufanya ya kufanya, there is nothing you can do about it!(tendo lenyewe siri by the way)
@THE END OF THE DAY: Ukijua utaumiaa, na kama ulishakuwa huwaamini inakua stress ulizipata mapemaa na hii ni stress juu ya stree! USHAURI WANGU: Just leave them, the world has enough problems already! wakiamua na waamue...
 

I beg to differ mkuu

RAFIKI; Huyu ni lazima umuamini ili mambo yenu yaende sawa ila principles in governing doubtful matters lazima zifuatwe, say mna biashara hapo lazima accounts ziwe independent from your friendship though inategemea uelewa wenu wote wawili

MPENZI/ MKE; Huyu unatakiwa kukubali majukumu ya kumlinda na umpe majukumu ya kukulinda...mimi humu huwa sina imani hata siku moja as hakuna principles za ku run a marriage life. Rafiki zangu ni wangu na ni mashemeji zake n vice versa....PERIOD....ukijichanganya hapo basi tena you cant control even your marriage and family.

Huwa nashangaa mtu yuko bar/ club/ beach etc na mke wa rafiki yake ambaye naye wameunda urafiki secondary to a former friend (mume wa huyo dada) hapa kwangu hiyo ni alarm to infidelity...........


Ni bora kuwa mshamba salama kuliko mjanja/ wakisasa hatarini
 

Asante kaka mkubwa ila mimi namaanisha kuna sehemu hata ukimwamini mtu 99.999% anakuzunguka iwe ni kwenye mke, mali, elimu au chochote (your faith is judgement based on your analysis of the people, but then your analysis is not always right).
Mimi naamini utendaji wao wa hilo tendo has little or nothing to do with your faith ...
a) Inawezekana wanaaminika then enviromental parameters zikawaangusha majaribuni (say they are stranded somewhere for a long time just the two of them).
b) Wengine majizi tu ya chinichini hata uwaonye na kuwaprotect vipi, mwisho wa siku labda lady keshapewa mimba nje ama the guy keshampa mtu mimba! (mbaya zaidi kwa men hapa lazima uamini mtoto ni wako tu coz si unajifanya ulikuwa unakaba hadi penati?)
 

RED; Rocking the boat on the same direction kaka......hakunaga kitu inaitwa imani sio???? Ni wewe mwenyewe ndo una ji switch accordingly..........with a little guide from what you named environmental parameters

BLUE; Carries everything associated with the subjective and volatile self established faith........if it exists anyway
 

Hahaha,dah.
kumbe unaweza pata mke mwema kabisa kwa kuangalia marafiki
wa mchumba wako eh?
Safi sana.
 
pj bwana sijui kama alinizidi au vp
ila walipeana mimba na jamaa aliniomba msamaha mimi nikakataa ni story ndefu mdada akahamia kwa jamaa kwa lazima
na walishaachana

ila kwangu wote wana tabia mbaya hawafai

mmmmh,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…