Asante kaka mkubwa ila mimi namaanisha kuna sehemu hata ukimwamini mtu 99.999% anakuzunguka iwe ni kwenye mke, mali, elimu au chochote (your faith is judgement based on your analysis of the people, but then your analysis is not always right).
Mimi naamini utendaji wao wa hilo tendo has little or nothing to do with your faith ...
a) Inawezekana wanaaminika then enviromental parameters zikawaangusha majaribuni (say they are stranded somewhere for a long time just the two of them).
b) Wengine majizi tu ya chinichini hata uwaonye na kuwaprotect vipi, mwisho wa siku labda lady keshapewa mimba nje ama the guy keshampa mtu mimba! (mbaya zaidi kwa men hapa lazima uamini mtoto ni wako tu coz si unajifanya ulikuwa unakaba hadi penati?)