Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
"Hauwezi kupunguza madeni unayodaiwa na Taifa fulani kwa kutumia fedha za IMF au benki ya dunia alafu ukatembea kifua mbele ukisema unalitatua tatizo.
Afrika inahitaji usimamizi madhubuti wa vyanzo vyake vya kiuchumi. Afrika inahitaji kufanya kazi kwa bidii kuzalisha na kukuza vyanzo vyake yenyewe kwa sababu mkopo ni mkopo tu, haijalishi uwe unatokea China au Mataifa ya magharibi kwani huo wote ni utumwa."
Paul Kagame,
Raisi wa Rwanda.
Ndugu zangu wakenya mnataka kukopa ili kulipa deni. 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Kenyata kweli ametingwa.