Mkuu BAK, umenikumbusha mbali sana kwenye hizo nyimbo za ABBA na Boney-M. Ilikuwa Enzi hizo baadhi ya WaTanzania wakienda kusoma Urusi miaka ya '70 na mwanzoni wa miaka ya '80 wakati wa kurudi nyumbani Bongo, ni lazima aje na mikanda hiyo miwili pamoja na mzinga wa Vodka. Du tumetoka mbali sana.
Ningeoma uongezee hizo za ABBA kutoka kwenye albam yao ya Gold kama vile "Knowing me knowing U" e.t.c.