Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani nyie asanteni sana
Weekend bila pesa ni sawa na muislam afunge halafu afturu saa kumi jioni...
Wabongo tafteni pesa, starehe zilikuwepo tangu enzi za Kaisari, so mtazikuta tu
hahahaha tunatafuta pesa huku tunafurahia maisha na miaka inakwenda
Dah maisha matamu kibaya kutangulia kufa si unajua maisha yenyewe mafupi haya.
BAK asante sana kwa masong yako naomba song yoyote kutoka kwa Fally Ipupa kama unayo kwenye stoo yako iniburudishe hata kama si leo