kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,423
Huwezi kuamini huo muda ndo hata kama kazi ilinishinda mchana hapo huwa ninapata solution jaribisha utaamini, kama ni kukulana namkula kabisa wife namuacha amelala mimi naendelea na yangu na ameshazoea utaratibu hadi nisipoamka cku mbili huwa anauliza nini shida!Huo muda usingizi mtamu balaa