Have I seen my death?

Huo muda usingizi mtamu balaa
Huwezi kuamini huo muda ndo hata kama kazi ilinishinda mchana hapo huwa ninapata solution jaribisha utaamini, kama ni kukulana namkula kabisa wife namuacha amelala mimi naendelea na yangu na ameshazoea utaratibu hadi nisipoamka cku mbili huwa anauliza nini shida!
 
[emoji2][emoji2]
 
Mkuu vipi pesa ni mpesa
 
Nilikuwepo[emoji102] [emoji115] [emoji3]
Yani mshana mimi huwa nikishtuka usiku nikaingia jf huwa naogopa kufungua thread zako au nikiona tu nasema Mungu wangu leo sitalala!! Kuna zingine ukifungua lazima uogope usiku na hivi wengine tunalala peke yetu ni shida


But i like you coz unatuelimisha na mengi tusiyoyajua
 
Thanks all the same but next time ukiogopa nialike... Kwa nia njema kabisa
 
Aiseeee nimeogopa mm utafkili ndio mwenye ndoto
 
Muda wa kuokoka na kumshika Yesu kwa nguvu zako zote ni sasa!![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…