Hongereni pamoja na Nyumba kubwa.....muongeze mingine hamsini!!
i will be happy and proud.....Michelle The Finest....how beautiful!:dance::dance:
Hongera sana Nyumba Kubwa !! Ubarikiwe mpaka ushangae!
Hahhahaha hata mimi ni Mrs Nsiande ngiwiriamooo-chumaulete !
I have kept the best of both names, la kwangu which was and still is extremely popular manake nikikutana na marafiki zangu wataanza na Nsiande Ngiwiriamoo ....then husband dearest's name nimeliweka mbele kuonyesha addition ya mwili mmoja ....
Its our annivesary today...10 years baby ....very happy for today...don't know what tommorow has in store for me.
mm cijabadili nimeolewa 5 yrs back nilichobadili badala ya miss huwa naandika mrs thats all , teh teh niandike jina lake kwani yy baba yangu? Lol
Thanks dear. Hongera na wewe.
Nilitembelea familia moja jana. Mtu na mumewe wameishi 40 years. Wanaonekana bado vijana. We were in a group. Tuliwaonea wivu kwa kweli. Yaani wamekuwa kama mapacha, mmoja akiongea mwenzie anamalizia sentensi jinsi wanavyojuana. Wako peke yao watoto wameshasambaratika.
Hongera my dear sisy....Mungu awape miaka mingi zaidi ya furaha na mafanikio zaidi kwenye ndoa yenu.:A S-rose::A S-rose:
Mhhhh! Michelle!? What about Michelle Hashycool!? Hahahahahaha lol! BaK huwa anapenda uchokozi! :dance::dance::dance:
Kweli kabisa, tuombe Mungu tufike huko maana kila wakati tunajiuliza tulipotoka tangu FoE mpaka tulipo na mapito yooote its been a journey
Kuna quote inasema 'Grow old with me, the best is yet to be !'
Tuombeane kwa mwenyezi Mungu kutuvusha salama maana mambo ya sasa yanatisha kwakweli
Haya ni maumivu BAK.....ungejua ninavyom miss Hashy na jinsi ilivyokuwa ngumu kumsahau usingetaja hilo jina......am crying....miss you Hashy,how is wish to be named Michelle Hashycool??
Asante sana my mdogo God is good
...Kuna baadhi ya Waislamu ambao Wake huchukua majina ya mwisho ya Waume zao, pamoja na kuwa hili haliendani na taratibu za Kiislamu.
Mhh haya mambo ya FOE tena???? huko huko fakati au kwingine?kweli mmetoka mbali.Kweli kabisa, tuombe Mungu tufike huko maana kila wakati tunajiuliza tulipotoka tangu FoE mpaka tulipo na mapito yooote its been a journey
Kuna quote inasema 'Grow old with me, the best is yet to be !'
Tuombeane kwa mwenyezi Mungu kutuvusha salama maana mambo ya sasa yanatisha kwakweli
R u married?NK Personally sibadilishi jina... I add to my full name...