Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,081
- 2,325
Kwa maendeleo ya sasa litaonekana ni udhalilishaji au unyanyasaji, lakini umuhimu wake upo. Kuwa familia yote inajulikana kwa jina moja. Kwamba wewe ni wa kwa fulani. Hata mtoto wa ndugu kama unakaa nae ataishia kuitwa wako kama utambulisho wa kujua huyo mtoto anatoka nyumba ipi. Wanawake wanaona ufahari kwa kuwa wanapenda kujulikana kuwa wameolewa.
sasa kinachokuja kutesa hapa ni kipato cha wanawake ambao wanaamini kuwa na kipato kunamfanya asilazimike kuwa na mume. Si akitaka yeyote atapata! Maumivu huanzia hapo.
sasa kinachokuja kutesa hapa ni kipato cha wanawake ambao wanaamini kuwa na kipato kunamfanya asilazimike kuwa na mume. Si akitaka yeyote atapata! Maumivu huanzia hapo.