Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

Mbona ni maadhimio mengi mno ?
Kuna ambalo halijatimia?Hilo ndilo la kujiuliza.Kama lipo litatimizwa tu,na mimi naona almost yote tayari!

Na kwa jinsi hawa watu walivyo mkuu,wala haya sio malengo mengi,kwa kuwa wana fronts nyingi kama ambavyo wamesema wenyewe.Mkuu kama umecheki hayo malengo vizuri,kazi wameshamaliza.Wanalokazania sasa ni hili👇

"When our goal is accomplished a new era of domination will begin."

Na hili wanataka walitimize kwa kutumia janga lao la kugushi la C-19.

Ukweli ni kwamba tumewaachia mno,tukiambiwa tunajidanganya/tunadanganywa kwamba ni conspiracy theories,here we are,in a dead end.Hapa niseme wazi,Wanadamu tusubiri muujiza tu,hatuna ujanja,we are cornered.
 
Subiria sasa ije 10G ili upige yowe vizuri.
 
Hapo ni Mungu tu atunusuru na hiyo mipango ovu.
 
Siri hubakia sirini bila kujulikana, ukisha reveal haiwezi kuwa siri tena.

Hoja ya msingi ni umeyajuaje haya wakati yalikua siri?
 
Subiria sasa ije 10G ili upige yowe vizuri.
Aisee Yoda wewe na mabwana zako ni wajinga sana.In all this nonsense,hivi Mungu mnamuweka wapi.Hivi mnajua kwamba wanadamu ni viumbe wake na hasa wale wanaomtii?Ngoja nikuambie Yoda,wateule watapata mateso,but God will protect them somehow,yeye anajua how.

Na naomba nitumie nafasi hii to warn yeyote atakayesoma ujumbe huu.The World and humanity as we know it is coming to a tragic end.It is only those who believe in Jesus Christ who will receive Gods'protection.Why don't you receive Jesus Christ including you Yoda so that you can guarantee yourself of Gods' protection in the very troubling and terrible few years ahead.It is now or never,the ball is in your feet.

Naomba Yoda wuisome hiyo Covenant vizuri,kama wamekudanganya kwamba wewe ni mmoja wao ni uongo,kimbia before it is too late.
 
Mkuu najifunza mengi Sanaa kutoka kwenye research na knowledge yako wewe n miongon mwa few participants kweny hii forum mmenifanya nisi delete because most of people humu are completely westernized and I bet few are really Agents wa hao watu(Globalists) keep doing what you suppose to do Kuna watu wengi tunakuelewa Sanaa and we are proud to have you inside here.thank you bro.
 
Siri hubakia sirini bila kujulikana, ukisha reveal haiwezi kuwa siri tena.

Hoja ya msingi ni umeyajuaje haya wakati yalikua siri?
Wapo watu wanaitwa "whistleblowers," they are in every system.Wanatoka huko kwa kuwa wanawaonea wanadamu huruma or the system has some misunderstandings of some kind so wanakomoana.Unamkumbuka Edward Snowden?Basi ni watu Kama hao.Zipo sababu nyingi.Sisi hata hivyo tunashukuru kwa lolote linalotokea kwa kuwa wanatupasha habari,na hasa kwa kuwa yote yaliyotajwa kwenye hiyo Covenant ni kweli.
 
Asante kwa kutambua juhudi zangu mkuu.Humanity has been cheated for too long,nadhani sasa inatosha.
 
Asante kwa kutambua juhudi zangu mkuu.Humanity has been cheated for too long,nadhani sasa inatosha.
But this time no way the world is on the road to perish most of people don't see this na hakuna lakufanya tuendelee kuangalia this scripted movie.
 
Hapa umewakosa Waislamu, Wabudha na Wahindu kwenye debunked conspiracy theories zako.
 
Nami ni mmoja wa wanaomuelewa huyu bwana na pia nimependa hiyo unti-western uliyozungumzia.
 
Ndu
Ndugu usiwe mwepesi kufanya judgement na kitu ukakiangalia kwa upande mmoja au ukakisoma kama hadithi. Nakuomba nikuulize usinijibu lakin utafakari.

1. Je nani alichochea chuki kati ya wahutu na Watusi warwanda mpaka wakauana kama mashetani 1994 wakati wamekaa pamoja miaka wameoana, je vikao vilivyokua vinafanyika Presidential palace Uganda kati ya RPF,Ugandan authorities vikiongozwa na UK and US authorities unajua nini kilikua nyuma??Kwa nn ICTR ilipeleleza upande mmoja?Nani alieathiriwa na vita, je deni la taifa halikuongeza mara kadhaa kujenga vilivyobomolewa na vita?? Who paid and still pay the price?

Kuhusu superiority kati ya wahutu na watusi naona hata hapa kuna ambao wanakuja kujigamba kwamba wao ni superior kuliko wengine, wanasahau kwamba wanakua wanamtumikia kafiri (the global mafia)

2. Vita vya Sudan ,sisi tunaona South Sudan ilijitenga kwa Sababu ya manyanyaso na ubaguzi wa waarabu wa kaskazini. Lakin ni kweli wale waarabu walikua na chuki na weusi, au kuna uchochezi ulifanywa na hawa global mafia ili itokee social collusion ,then baadaye Sudan iwe splitted wachote mafuta. Tafuta reference utapata.

3. The ongoing war in Ethiopia kati ya serekali na waasi wa Tigray. Is it a genuine war worthy to be fought and sacrifice so many people. Who told the Tigrayan should always lead Ethiopia. Why Tigrayan think they are superior species in Ethiopia?? Who told them?

Kwa ufupi mtu usiwe mwepesi kukashfu hoja ya mtu bila kuwa na vithibitisho na kujiridhisha na unachokiongea.

Ukiweza kupata hizo case studies 3,utaelewa vita za Liberia, Sierra Leone, Burundi, Angola, hata vita ya Eastern Congo, ....hata hii mivutano ya dini, wakristu kati yao, waislamu kati yao, hata waislamu na wakristu. Kuna infiltration kila angle ya maisha ila inahitakjika akili kubwa kuelewa mchezo
 
We do we have to blame whites for our own weaknesses all the time.

Kwa hoja yako hapo unataka kusema chanzo cha hizo vita zote ni kuchonganishwa?
 

Mathanzua in new ID,🤣
 
The World and humanity as we know it is coming to a tragic end.It is only those who believe in Jesus Christ who will receive Gods'protection.


The world and humanity is coming/going to a tragic end??!!---- only those humans believing in Jesus Christ will be protected by God !!?, ----protected in the same tragically ended world ??!!🤣
 



Wewe unayo matatizo makubwa, copy paste ni mbaya sana kwani unaweza kukopi na ukashindwa kukitetea na ukashikwa udanganyifu.

Angalia hapo mwisho wa hiyo secret Covenant , Author :-UNKNOWN, Adherents:- blank.

Sasa ni mtu gani mwenye akili timamu anaweza kuikubali hiyo document??!!, inawezekana imeandikwa na mwendawazimu.
 
Dunia haiwezi kuisha kama mche wa sabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…