Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

Kuchagua kuwa mtumwa ni uhuru wa kuchagua.
 
Tupia Makala mkuu,tunafuatilia, naomba hizo links dm
 
Huwezi kuchagua,you simply do not have that capacity.
Sikuzote kuna uchaguzi, Ni option za uchaguzi ndo zipo limited.

Mfano mfumo wa maisha baada ya kifo unauchagua ukiwa hai, chaguzi ni mbili tu mbingu au jehanam, Huwezi mchagua shetani halafu usichomwe moto lakini aliyekuumba amekuambia upo huru kuchagua ila uhuru umefungwa na options mbili tu. Moto au mbingu bila shetani.
 
Hakuna research wala knowledge yoyote hapo ni copy and paste tu ya matango pori.
Copying yenyewe inahitaji some knowledge for instance when which and what you need to copy kwahyo sioni shida katika ku copy what is important nafkir nikitu gani una copy and for which purpose and is it really or sensible.
 
Utetezi wako kwa andiko ulilokota mtandaoni unaonyesha jinsi tunavyoamini mambo kirahisi na kudanganyika.
 
Usiogope kwa maana vyote NI ubatiri na kujilisha upepo.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujidanganya kuwa option ni mbingu au jehanam, unaweza kunambia where do these stuff exist in this universe?
 
Labda nikubaliane na wewe is some respect.Hata hivyo ni-caution,without Jesus Christ huna choice.Labda niku-alert kwamba agenda hizi zote ni za Shetani and without Jesus you cannot win the battle.
 
Copying yenyewe inahitaji some knowledge for instance when which and what you need to copy kwahyo sioni shida katika ku copy what is important nafkir nikitu gani una copy and for which purpose and is it really or sensible.
Research sio kukopi na kupesti tu.
 
Aiseee..Umekuwa mkali sana mkuu, let him believe what he believes.

Mfano mimi siamin in freemasons and such kind of bulshit vyote naviona ni kama some stupid hoax, yan naonaga ni mavitu yanawekwa www ili yapopulate tu internet ili algorithms za google na the likes zi pileup.

Wametengeneza mbinu kali sana ya kupata pesa, yan wanatuuzia habari za kizush zinatupotezea pesa na muda.

Ndio mana muda mwingine if you want to concentrate on your Major stay off the grid(switch off the Data button)..
 
Freemasons ni stupid hoax?!You are then the stupid hoax.Hata Shetani na wao wenyewe Freemasons wanakucheka.You are very ignorant young man.
 
Labda nikubaliane na wewe is some reason respect.Hata hivyo ni-caution,without Jesus Christ huna choice.Labda niku-alert kwamba agenda hizi zote ni za Shetani and without Jesus you cannot win the battle.
It's depends on your goals and how you define "win the battle" If your goal and commitment is to die in hell with satan & some friends, I cannot say you have lost the battle if that happens.

Katika vita, kuna wakati kifo ni sehemu ya ushindi. Uhuru, kushinda na kushindwa kunategemeana na malengo ya kivita ya mpiganaji husika.

Hata sasa upo huru kuchagua kutokutii mipango ya hawa uliowaandika huku ukijua matokeo yake, na matokeo yatakapokupata still wewe ni mshindi.
Atakayekuambia wewe si mshindi ni yule ambaye ana malengo tofauti na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…