Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

You are already enslaved huoni mbele wala nyuma,pole sana.Mengi uliyo orodhesha hapo ndiyo yanayotumiwa kuku-maliza kwa bahati mbaya.Umelala sana brother,you need to wake up.
 
Agenda za watu wenye matatizo ya afya ya akili.Huyu mtu alitakiwa awe katika mental institution, ipo siku atakuja kusababisha maafa makubwa uraiani.
Try to convince me the other way round. Something must be wrong with you.
 
Sawa ila 5G ndio weapon hatari
Hata umeme ulipoanza kutumika kulikuwa na wajinga kama conspiracists wa leo walioukwa wanataka watu waendelee kutumia vibatari.
 

Attachments

  • IMG_20211222_053635.jpg
    85.5 KB · Views: 6
You are already enslaved huoni mbele wala nyuma,pole sana.Mengi uliyo orodhesha hapo ndiyo yanayotumiwa kuku-maliza kwa bahati mbaya,umelala sana brother,you need to wake up.

Hakuna kitu kama hicho kaka. Miaka 5 ikiyopita conspiracy theorist walianza kusema kuwa 5g ina enslave akili zetu na ina madhara. Leo 2021 5g iko hewani na inatumika kwa ukawaida na simu zake tunazimiliki.
Usikubali kuishi kwa kushikwa akili na nadharia zisizokuwa na mashiko.
Hiyo simu unayotumia ni technology ya NWO usiitumie basi uende ukakae maporini huko.
 
Very distorted mind indeed,unajuaje kwamba hakuna kitu Kama hicho?Jambo la kushangaza ni kwamba waliyo orodhesha kwenye Covenant yao mengi yameshatimia, sasa wewe mwenzetu unaishi kwenye dunia gani usiyeona?Wewe mwenyewe hapo ulipo ni muathirika wa Eugenics plan yao!Unajua,
wapo watu wamezoea jela kiasi kwamba siku wakimaliza kifungo chao wanaomba waendelee kubaki jela,you are that kind.Pole sana.Anyway thakyou for sharing,hata kama ni utopolo.
 
Try to convince me the other way round. Something must be wrong with you.
Afadhali na wewe umeona,huyo jamaa kalishwa matango mwitu,ni waku-ignore.He has such a distorted mind.
 
Kwani huelewi kuwa people resisted colonialists? Hii issue ni ya makumi ya maelfu ya miaka, those who are our manipulators infiltrated humanity for thousands of years.
Kuna story ndogo kuhusu hawa elites kwenye Bible Mwanzo 6 inazungumzia seedling ya genes za Aliens (Sons of God) ambao hujulikana kama watu hodari...na hawa jamaa still exist in the Earth na wanaoperate ulimwengu from Unseen, wana maarifa/knowledge za kimungu..that why the entire world worship their God dini hizi za ki Mainstream.
Kama ni muumini wa ukristo kuna story ya Nuhu, this man was Reptilian.
Na Christianity ni serpent cult!
Najua nakuvuruga na haya mambo lakini vunahitaji muda mrefu kuyatazama haya mambo.
Waliotupa historia fake ya kusema binadamu wa zamani walikuwa ni primitive with poor knowledge kwamba kulikuwa na zama za mawe ni waongo wanaojenga mind programming.
Ndo maana umenambia kuwa nakubalije kuongozwa na wapumbavu, bila shaka hukumaanisha mpumbavu mimi bali hao wazazi wetu waliokubali ukoloni, hii inaonyesha how deeper umekuwa programmed.
Ili ufahamu japo kidogo, zifahamu elimu za Dianetics na Scientology ujue how mass mind programming inavofanya kazi.
Pia tafuta kitabu kinachoitwa "Trance Formation in America, utashangaa"
 
Illuminati ni nini?
Unafahamu huu uzushi, uvumi na upuuzi unaoitwa illuminati ulianza kutajwa karne ya 15 tu wakati binadamu ameanza kujihusisha na dini hata kabla hajagundua maandishi?!
Unataka kujua who are Illuminatti..
Ni watu wenye mwanga, knowledge.
Angalia USA dollar bill kuna picha ya Pyramid na katikati ya pyramid kuna Capstone, sasa walioko chini ya Capstone ndio human society na Goverments zao za duniani then walio juu ya capstone ndo Illuminatti na wao pia wana madaraja yao.
Mfano India kuna Caste system ambayo hairuhusiwi kuoa/kuchanganya their bloodline kwa sababu wanajijua na They claim kuwa Kingship/Ufalme ni wao.
Hata British Monarch ni pure Illuminatti bloodline ndo maana hawaruhusu Ufalme kuchukuliwa na wengine...
Tafuta kitabu usome cha "Big Secret" cha David Icke sio kubisha bisha tu
 
BS
 

Chanzo tafadhali ili kutetea hoja yako
 
Watu tukisema tunawachukia mabeberu wanatushangaa.Hivi kuna uovu gani mwingine mbaya unaoweza kumfanyia binadamu mwenzio zaidi ya huu?
Seems like hii ni zaidi ya mabeberu.

Naona kama ni kundi la mashetani lenye malengo ya kuiangusha dunia.
 
Ohh you are so stupid [emoji23][emoji2][emoji2]
 
Illuminati ni nini?
Unafahamu huu uzushi, uvumi na upuuzi unaoitwa illuminati ulianza kutajwa karne ya 15 tu wakati binadamu ameanza kujihusisha na dini hata kabla hajagundua maandishi?!
Mbona unajitahidi sana kupinga? [emoji2][emoji2][emoji2]

Kuna jambo unataka kulificha? [emoji2][emoji2]
 
Illuminati ni nini?
Unafahamu huu uzushi, uvumi na upuuzi unaoitwa illuminati ulianza kutajwa karne ya 15 tu wakati binadamu ameanza kujihusisha na dini hata kabla hajagundua maandishi?!

Utakuwa mweupe sana mkuu ila unajifanya unajua [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…