Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are already enslaved huoni mbele wala nyuma,pole sana.Mengi uliyo orodhesha hapo ndiyo yanayotumiwa kuku-maliza kwa bahati mbaya.Umelala sana brother,you need to wake up.Hiki kipindi akili ya biandamu imekuwa sana kaka.
Leo anawasiliana na wewe remotely na wireless nikiwa eneo jingine la nchi.
Leo tunafanya operation za moyo.
Binadamu anajiandaa kwenda mars.
Binadamu anasafiri kwa kutumia usafiri wa ndege.
Binadamu ameendelea kiteknolojia kuliko kipindi chochote katika historia ya ulimwengu huu.
Ulimwengu umezidi kuwa bora kuliko kipindi chochote katika historia.
Conspiracy theorist acheni kututisha tunakoenda ni bora zaidi kuliko tunakotoka katika nyanja zote za kiuchumi,kiafya,kijamii na kisayansi pia.
Try to convince me the other way round. Something must be wrong with you.Agenda za watu wenye matatizo ya afya ya akili.Huyu mtu alitakiwa awe katika mental institution, ipo siku atakuja kusababisha maafa makubwa uraiani.
Hata umeme ulipoanza kutumika kulikuwa na wajinga kama conspiracists wa leo walioukwa wanataka watu waendelee kutumia vibatari.Sawa ila 5G ndio weapon hatari
You are already enslaved huoni mbele wala nyuma,pole sana.Mengi uliyo orodhesha hapo ndiyo yanayotumiwa kuku-maliza kwa bahati mbaya,umelala sana brother,you need to wake up.
Very distorted mind indeed,unajuaje kwamba hakuna kitu Kama hicho?Jambo la kushangaza ni kwamba waliyo orodhesha kwenye Covenant yao mengi yameshatimia, sasa wewe mwenzetu unaishi kwenye dunia gani usiyeona?Wewe mwenyewe hapo ulipo ni muathirika wa Eugenics plan yao!Unajua,Hakuna kitu kama hicho kaka. Miaka 5 ikiyopita conspiracy theorist walianza kusema kuwa 5g ina enslave akili zetu na ina madhara. Leo 2021 5g iko hewani na inatumika kwa ukawaida na simu zake tunazimiliki.
Usikubali kuishi kwa kushikwa akili na nadharia zisizokuwa na mashiko.
Hiyo simu unayotumia ni technology ya NWO usiitumie basi uende ukakae maporini huko.
Haswaa! Mkof kwako.Dunia haiwezi kuisha kama mche wa sabuni
Kwani huelewi kuwa people resisted colonialists? Hii issue ni ya makumi ya maelfu ya miaka, those who are our manipulators infiltrated humanity for thousands of years.Umeandika vitu gani wewe mbona sielewi kabisa!?
Wajerumani and blah! blah! waliua wazazi wenu waliokuwa na maarifa bora na wakaleta ya hovyo sio? kama ni kweli walikuwa(wazazi wenu)wana kiwango kizuri cha maarifa why didn't they resist?
Hivi wewe mpumbavu anaweza ongoza njia yako.
Unataka kujua who are Illuminatti..Illuminati ni nini?
Unafahamu huu uzushi, uvumi na upuuzi unaoitwa illuminati ulianza kutajwa karne ya 15 tu wakati binadamu ameanza kujihusisha na dini hata kabla hajagundua maandishi?!
BSKwani huelewi kuwa people resisted colonialists? Hii issue ni ya makumi ya maelfu ya miaka, those who are our manipulators infiltrated humanity for thousands of years.
Kuna story ndogo kuhusu hawa elites kwenye Bible Mwanzo 6 inazungumzia seedling ya genes za Aliens (Sons of God) ambao hujulikana kama watu hodari...na hawa jamaa still exist in the Earth na wanaoperate ulimwengu from Unseen, wana maarifa/knowledge za kimungu..that why the entire world worship their God dini hizi za ki Mainstream.
Kama ni muumini wa ukristo kuna story ya Nuhu, this man was Reptilian.
Na Christianity ni serpent cult!
Najua nakuvuruga na haya mambo lakini vunahitaji muda mrefu kuyatazama haya mambo.
Waliotupa historia fake ya kusema binadamu wa zamani walikuwa ni primitive with poor knowledge kwamba kulikuwa na zama za mawe ni waongo wanaojenga mind programming.
Ndo maana umenambia kuwa nakubalije kuongozwa na wapumbavu, bila shaka hukumaanisha mpumbavu mimi bali hao wazazi wetu waliokubali ukoloni, hii inaonyesha how deeper umekuwa programmed.
Ili ufahamu japo kidogo, zifahamu elimu za Dianetics na Scientology ujue how mass mind programming inavofanya kazi.
Pia tafuta kitabu kinachoitwa "Trance Formation in America, utashangaa"
Mkuu nikupe alert kidogo, Jesus Christ never existed...it is a mind programming, Christianity ni craation ya Melovingian society...Huwezi kupata kitu chema kutoka kanisa Katoliki ambalo hujinasibu kuleta ukristo duniani.
Ukristo uliletwa duniani na mataifa ya hawa Illuminatti wa ulaya waliotawala dunia kama Waingereza, Wafaransa, Germans, Wareno, Spain, Italy nk hawa ndo walileta ukristo na wali waua wazazi wetu wenye knowledge za maana wakaleta za kwao kwa vile hii dini ilikuwa na mafundisho ya hovyo...Ukatoliki na agents wake waliendesha Mateso/Inquisition kwa wote wenye kukataa mafundisho yaliyobuniwa kama dini ya ukristo.
Kwa sababu hiyo ukristo ni dini bandia yenye kuharibu akili.
Note:
Hawa illuminatti ndo walileta dini duniani, dini za Kiislamu, Hindu nk zililetwa na Illuminati wa matsifa hayo.
Hivyo basi dini yoyote sio nzuri, binadamu hahitaji kuwa na dini kwa sababu sio asili yake
Seems like hii ni zaidi ya mabeberu.Watu tukisema tunawachukia mabeberu wanatushangaa.Hivi kuna uovu gani mwingine mbaya unaoweza kumfanyia binadamu mwenzio zaidi ya huu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Freemasons ni stupid hoax?!You are then the stupid hoax.Hata Shetani na wao wenyewe Freemasons wanakucheka.You are very ignorant young man.
Ohh you are so stupid [emoji23][emoji2][emoji2]Hizi ndo topic za kukaa jamii intelligence....
Zinahitaji deep thinking ya kiwango cha juu sana.
Mimi kama mimi nilishazifatilia sana mwisho wa siku nikavutiwa zaidi na agenda zao na kutamani sana kujiunga nao.
Kwa sababu wana mengi mazuri wanayotufanyia kuliko mabaya yao ambayo mengi ni ya kusadikika tu.
Mfano IMF ni part ya new world order wameipatia tanzania 1.2 trillion tsh hili ni la kuwashukuru sana wao kwa maana hatukuwa na sehemu ya kupata hiyo hela ya bure
Mbona unajitahidi sana kupinga? [emoji2][emoji2][emoji2]Illuminati ni nini?
Unafahamu huu uzushi, uvumi na upuuzi unaoitwa illuminati ulianza kutajwa karne ya 15 tu wakati binadamu ameanza kujihusisha na dini hata kabla hajagundua maandishi?!
Illuminati ni nini?
Unafahamu huu uzushi, uvumi na upuuzi unaoitwa illuminati ulianza kutajwa karne ya 15 tu wakati binadamu ameanza kujihusisha na dini hata kabla hajagundua maandishi?!
Illuminati ni hadithi kama zile za Abunuwasi au Alfu lela U lelaMbona unajitahidi sana kupinga? [emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna jambo unataka kulificha? [emoji2][emoji2]