Have You Ever.......

kbd.......nisaidie mpenz maana nami nimeuliza the same but k9ina MTM wamenikaushia
 
Kama unachokipigania hakitaki kupiganiwa utaishia kupoteza muda na kuumia zaidi!
 
What do u c kwa huyo mjamaa that u dont c kwa wengine, after all huyo tayari ameweka madhara kwenye record yako. Why not look for fresh one and practice the whole lot again, who knows?, at least I dont Know.
 
Mjukuu hapa sijakuelewa, unataka kusema kua usababishe huyo mtu amwache mwenzako awe na wewe? au huyo mtu hana mtu kabisa?
 
Fellow tablet hapo umeenda kinyume na katiba yetu.

Kuna mtu kanionea godoro langu?
 
wale jukwaa la siasa hawaponi kwa aspirin wala klorokwini, wale wanahitaji herizi la kalumanzira wa kinshasa ndio wapone, infakti jamaa wanaugua marazi mabaya kuliko ukimwi. Tafazali wakikuambukiza usiludi.
 
Hivi Maty ukiwa mtu unaumiza tu watu wewe hujawahi achwa unaweza kuwa mkosaji sana ee au ni ndio unajua kuchanga karata zako? nimependa the way unavyoishi maisha yako yaani raha ajabu ukiwa na hiyo kanuni aisee hupati presha hata siku moja
 
Mjukuu hapa sijakuelewa, unataka kusema kua usababishe huyo mtu amwache mwenzako awe na wewe? au huyo mtu hana mtu kabisa?
ZANTA kibaya si ni kuvunja NDOA ya mtu si ndio? What if umpendaye bado hajaoa/olewa but ana mahusiano yasiyo rasmi? Unaruhusiwa kurusha ndoano?
 
sweetheart, mimi ni mwalimu mwema na lengo langu ni kuhakikisha watoto wanafaulu kwa maksi za juu sana

naomba nijitolee kukufundisha kwani utakua best student

usitie shaka kabisa
 
Reactions: Kbd
What do u c kwa huyo mjamaa that u dont c kwa wengine, after all huyo tayari ameweka madhara kwenye record yako. Why not look for fresh one and practice the whole lot again, who knows?, at least I dont Know.
hapa umefurahisha mkuu kloro
 
you have to fight for ur love......kama hajachukuliwa kihalali lakini
 
Kama unachokipigania hakitaki kupiganiwa utaishia kupoteza muda na kuumia zaidi!
Lizzy ninazungumzia kujaribu.....au kwa vile ana mahusiano basi hutakiwi to let her/him know how you feel about her/him?
 
Fellow tablet hapo umeenda kinyume na katiba yetu.

Kuna mtu kanionea godoro langu?
heheeh namimi acha nilog out, kuna mnuso sehem sehem. kuna njemba inatiwa kitanzi leo a.k.a ndoa. Tangu jana njemba inacheka tu kumbe haijui kwamba within 6 months itakuja kuanzisha sredi hapa hapa JF.

Kwa maslahi ya JF: mpaka sasa dawa ambayo imekuwa proved kutibu matatizo ya overweight kwa 100% success ni ndoa tu, hakuna jogging wala mjombaake diet. kulaleki!

baadae fellow tablet bana!
 
ZANTA kibaya si ni kuvunja NDOA ya mtu si ndio? What if umpendaye bado hajaoa/olewa but ana mahusiano yasiyo rasmi? Unaruhusiwa kurusha ndoano?
Kurusha ndoano inaruhusiwa ila lazima mtu uwe na taadhari sana, maana mimi hua naamini kua kama mtu yupo kwenye mahusiano mazuri na mwenzake na nikafanikiwa kumpokonya sometimes nawadha kama mimi niliweza iweje mwingine ashindwe? ndo maana inapokuja kweny swala la kupenda aisee mimi huwa silazimishi kabisa.! Halafu sijisifii ila mi mtu mara nyingi huwa nagundua kua hapa ni sanaa tu hakuna mapenzi. usinulize maana jibu sina ila hua najua na sijawai kosea kabisa.
 
Hahahahaha mchungaji bana lol! karibu sana
 
Lizzy ninazungumzia kujaribu.....au kwa vile ana mahusiano basi hutakiwi to let her/him know how you feel about her/him?

Kumwambia ni sawa....ila katika vitu ambavyo hua naviogopa ni kumfanya mtu amwache ampendae (hapa nasema ampendae kwasababu angekua hampendi usingehitaji kuvaa magwanda ya kivita) ili awe na wewe!Kesho atatokea mwingine atakaempokonya kirahisi toka mikononi mwako kama ulivyopokonya wewe!Anaekupenda kweli wala hatahitaji wewe umshurutishe kumuacha aliye nae ....atafanya hivyo mwenyewe akijua kwamba pale alipo sipo anapotaka kuwepo na kwako ndipo panapomfaa!
 
Mbona watu wanaota vitambi na wanawake minyama uzembe kama ndio hivo?
 
Lizzy hivi "Fight for your Love" ni kabla ya kua na mtu au baada? maan isijekua watu wanachanganya hii kitu hebu nisaidie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…