Have You Ever.......

Unaukubali ukweli tu!!We can ‘t always get what we want and what we want isn ‘t always what ‘s best for us!!!
Aksante Lizzy that is true we cant get what we always want but how do I kubali that ukweli? Kuwa you cant have her/him yes but how to 'stop loving'?
 

Duh Kaka pole sana kwa saibu hili..........kweli uliumia.

But katika hii scenario ni mtu aliye na feelings kali za mapenzi kwa mtu mwengine ambaye kwa namna yoyote ile hawawezikuwa pamoja (labda muujiza utokee)
 

Aksante Sizinga....... huko kupotezea ssasa ndo unapotezeaje? Au unafanya mambo gani ili 'upotezee'? Na je ukipoteza halafu ukapata mwingine utahakikishaje kuwa hubebi mzigo wa zamani na kupeleka kwenye kiwanja kipya? Yaani zile feelings za yule huzi'carry over' kwenye relationship yako mpya kwa sababu ninaamini moja ya sababu zinazopelekea mtu kurudi kuwa na uhusiano na ex- wake ni carry overs
 
...it happened Once, when I was 16-19yrs old. Tangu wakati huo, nilijiapiza kutolirudia kosa.

Kaka acha uchoyo share with me please!!

How did you de-attached from that love feeling! Did you go for it even if you know you could not have her or did you just let the feeling dry and die?
 
Reactions: Mbu
Unapompenda mtu ni wazi utataka kupata penzi lake
Njia moja wapo ya kuepuka mawazo ni kutengeneza picha ya kufumaniwa kama hivi
CPU aksante sana kweli this is one way of playing safe iwapo that person is legally takan lol..........what if s/he is not legally taken?? Bado utafanyiwa hivi? au it doesnt matter?
 
Last edited by a moderator:
...hapo kwenye wekundu.

Nilijifunza kumbe NO means NO bana.
Iliniuma lakini 3yrs zilinitosha kuyajua machungu
ya kupenda pasipo penzi.

Siwezi kumsahau alivyonitenda...(the way she made me feel!)

Dah Mbu pole but usiposahau si ndo unayabeba tena kwenye relationship mpya ? But how did you come out of that ? Kwa sababu some people tend to move away from the area ambayo inamfanya aonane mara kwa mara na huyo mtu but it does not help maana anaweza akakaa kule then akajikuta feelings zinamrudisha au akakaa kule akasahau na kujidanganya kuwa ameshakuwa healed then akirudi kidonda cha kupenda kinaanza upya.
 
Mmh! Kizungu tupu!!? Nimeambulia neno moja tu, lavu! Asante, nawapisha wenyewe hiyo Ngeli Mkuu.
Nisamehe Mwendabure haikuwa nia yangu. Nimeuliza tu unafanyaje pale unapojikuta unampenda mtu ambaye unajua kuwa huwezikuwa naye kimapenzi??
 
Hili sredi babu anashindwa kulichangia asee....Limekaa kiujanaujana wakati babu mie nshazeeka.

Ila tu Mjukuu Mtiifu..........Ni afadhali ukajua he/she belongs to someone else kuliko akakuambia yuko alone na ni wewe tu katika maisha yake halafu ghafla akakuambia "am sorry, nilikuwa nakudangaya, jamaa yangu amerudi....so its over"...............Damn! Natamani kuua mtu....
 
Mwj1, how did you face the truth? ...alikwambia/uliambiwa/au ulijiambia?
maana nimeisoma maybe btwn the lines.


Mbu nawe upunguze kusoma katikati ya mistari loh

Its like this The person you have crushed hard on is not single ............s/he has another relationship although the relationship is not solid neither healthy (sometimes inatishia kuvunjika -sometimes that friend of yours declares that s/he doesnt see him/her with his/her partner in the coming years) BUT s/he hasnt show any move toward you................ its like a mixture of feelings. You know anakufeel sana tu and sometimes anakuwa na kama wivu anapokuona na watu wengine but hasemi wazi.

I know kwa wanaume ni rahisi anawezauliza why acting funny but kwa mwanamke inakuwaga ngumu kidogo. So unabakia kuassume tu kuwa I cant have this person no matter what cause haonyeshi kureciprocate.............how do you stopisha those feelings zako?
 

Loh babu ni kweli imekaa kiujanaujana kwa sababu huweziumia kama uko na bibi ......ila Babu naomba busara yako.............. kuoa ndo mwisho wa kupenda au ukioa basi kila ukitokea kupenda unapotezea?? Unapotezeaje?
 

BAK hiki ndicho ninachokizungumzia hapa. Aksante kwa ufafanuzi. Unajua ni kweli tunashauriwa kuwa unapokuwa in that situation dawa ni kupuuza na kusonga mbele but is that the only solution?? Why wengine wanafanikiwa kuwa na wapenzi wao no matter the Odds? Je does it have to do with jamii tunazoishi, maadili au tamaduni?

Oupssssssssss umesema hukaribishi maswali am sorry
 

Ina-pain for the moment lakini always mind ya mwanadamu ni flexible...so do this az if nothn happened...after smtm ukimpata mwingine be careful kum-study then mnaweza kuwa same truck. Halafu ngoja nikuulize kitu..ina maana we mtu yoyote utakaye-date nae(uchumba ni matokeo) basi unampata moyo wako 100%??is it like that??wadhungu wanasema ''
If you love someone, put their name in a circle,
instead of a heart,
because hearts can break, but circles go on forever''...

Dont forget this also ''
When time comes for u to give ur heart to someone, make sure u select someone who will never break ur heart, cuz broken hearts has never spare parts.''

kwahiyo Mwanajamii1 ''
You cannot love someone completely unless you trust them completely. Act as if your relationship with the person you love will never end. Trust is essential in all loving relationships. Trust yourself, trust others and trust the world. It is the foundation for LOVE''...

Ngoja ni-sign out....
 
dah..... kabla sijajibu naomba kuuliza, JE UMEDETERMINE KUWA HUYO MTU HAWEZI KUWA NA WEWE PHYSICALLY AU EMOTIONALLY? coz many of us are still emotionally attached to someone very dear and any trigger would lead to a full flare

Kamanda ..............Can the 'Emotional attachment' be enough?? Wouldnt you need more?
 

Aksante sana Sizinga hili somo lako nitaliprint na kuliweka on my bedside .............. great advice broda big up.

Umesign- off upesi mno ah
 
thanks swahiba.....
and that was my question...

lazima kujua alivalidate vipi their distance apart, whether physical or emotional!


Well its must be physically because the feeling is that ever the target has some feelings/ emotional feelings but s/he can not just spit it and you are not sure whether triggering it will do
 
Kamanda ..............Can the 'Emotional attachment' be enough?? Wouldnt you need more?
Yes MJ1,

I would need some more.... but at least one has to know and confirm that there is still something left on the plate, sometimes hata hiyo emotional contact inakua haipo... which is bad!!! With emotional contact, teh rest will follow as long as both make efforts tor each out to one another and not just one part being trying hard while the other plays hard to get!!

Now back to the question.... Personally i have been in the situation na nadhani kila mtu ameshawahi kupitia hiyo life; I am still emotionally engaged na huyo mtu but nashukuru Mungu she has done alot to push me aside, coz if she didnt... i dont know where would i be, especially with all teh responsibilities surrounding me

Tough but always worth experiencing it
 
Well its must be physically because the feeling is that ever the target has some feelings/ emotional feelings but s/he can not just spit it and you are not sure whether triggering it will do
Ok... now i get you!!!

Love is a gamble my dear kamanda, and in any kind of gamble probability ya watu wengi kushinda haipo, ni one in a million....

lakini one thing for sure ni kwamba it takes two to tangle!!! and once you do play your part, you dont blame yourself coz the other person is not worth it!!! but if you didnt do your part in nurturing your special relationship... then pain is all there to be felt

BTW, why did you start this thread?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…