Have You Ever.......

Anything grandie!
Orait... japo itakua mada juu ya mada nauliza hiviiiii kama bibi hajaukamata moyo wa babu ipasavyo ilikuaje babu akampa cheo cha kua bibi???Samahani lakini kama ntakukwaza!
 
Please, take note of the following;

  1. Always a true love has no reason(s), but it is normally associated with unlimited and unconditional sacrifices...
  2. No one in this planet, has given love to the extent s/he want to be given...
  3. Getting married is not the end of falling in love, or getting loved.....
  4. Love is never a crime....
 
Orait... japo itakua mada juu ya mada nauliza hiviiiii kama bibi hajaukamata moyo wa babu ipasavyo ilikuaje babu akampa cheo cha kua bibi???Samahani lakini kama ntakukwaza!
Hahahaha....we kumbe mbea eh?.........Hebu soma komenti ya babu hapa chini

Na kuweka pointi vizuri zaidi ni kuwa.........huwezi penda watu wawili..Kuna mmoja utakuwa unamtamani tu....Kinachotokea hapa ni kuwa, yule unayemtamani lakini yeye akawa anakupenda, utajikuta unalazimika kumpenda na kumkubali. Ukimtamani na ukamkubali utajikuta unampenda......Bibi ameingia mikononi kwa babu kwa muktadha huu.....Ndo maana nikakwambia yule mtu akirudi, bibi atakuwa na mshindani mkali, sikusema bibi atapigwa kibuti.

FYI....hakuna mwenye uwezo wa kumtoa bibi yenu mikononi mwangu zaidi ya Mwenyezi Mungu.
 
Nimeipenda hiyo sentensi ya mwisho babu....lakini si wanasema ukimpenda mtu you will do anything, anything for him/her je akitaka kuwa zaidi ya Bibi yaani umtoe bibi ??lol
 
Nimeipenda hiyo sentensi ya mwisho babu....lakini si wanasema ukimpenda mtu you will do anything, anything for him/her je akitaka kuwa zaidi ya Bibi yaani umtoe bibi ??lol

Hebu rudia swali tafadhali.........sijakuelewa ujue.
 
Mapenzi bana mie siku hizi nachukulia juu juu tu mpaka siku nikipatwa ndio nitayachukulia serious sana, nimechoka na sitaki kuumia tena, im just enjoying my life as long as i can
 
Mapenzi bana mie siku hizi nachukulia juu juu tu mpaka siku nikipatwa ndio nitayachukulia serious sana, nimechoka na sitaki kuumia tena, im just enjoying my life as long as i can

Najiuliza...kuna ambaye hajawahi kuumizwa? Sipati jibu!
 
another platinum release from Lizzy,

Lakini kama wewe ni msomaji mzuri sana wa JF (which i believe you are..) hebu fuatilia nalivua pendo, baby come back, what if na have you ever.....

I rest my case!!!!

MJ1 is pulling someones leg halafu anamgeuzia kibao tu huyo mkaka wa watu
 
you are very right Okada....

cha maana tu hapa ni kujua kwamba once you are engaging yourself kwenye mapenzi ya kweli (kwa upande wako) that is bound to happen, the best way to avoid hayo ma-hassle ni kutokupenda kabisa, which i ahve failed and i failed long before i started

changamoto kubwa ni communications tu katika mapenzi ya leo na false expectations, unakuta scenario ni mpaka nireach out, otherwise nothing happens

... hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... this thread is very tricky!!
 
And who has written this stuff?

No my mate has just said it....
 
true kwenye red aisee,

ila je hakuna pia wa kukaa nae hapo mikononi mwako japo kwa muda??
 
duu mapenzi nazidi kuchanganyikiwa kila siku, kuna sehemu nilisoma eti men like giving than receiving love, na sie wanawake tunatakiwa tureceive tu hiyo love tunayopewa na wapenzi wetu, na ikitokea basi huyu mwanamke awe ndo anagive hiyo love kwa mwanume wake, basi huyo mwanaume ataboreka na kutafuta mwanamke mwingine to give her his love, Je sisi wanawake hatutakiwi kupenda jamani MTM nisaidie hapa
 
true kwenye red aisee,

ila je hakuna pia wa kukaa nae hapo mikononi mwako japo kwa muda??

Hilo hali-epukiki kamanda....Hamna haja ya watu wazima kama sisi kudanganyana bana!
 
Mapenzi bana mpaka leo hajapata msemaje wake, kila mtu anasema analoweza kusema.!
 
Hahahhaha MTM what about NEVER KNEW.?? this one is completely linked to that one I tell you and if you know the secret behind the Never knew then you've got the secret....................
 
i think you missed my point

i was generally saying that love feels good when you give it, and it completes the cycle if the return is done

ukikaa na kutegemea kupewa tu hailipi

Love is mutual mazee....

Now back to topic, mimi namnshauri MJ1 amwambie huyo mjamaa ili ajue maana waweza kuta huyo jamaa hajui chochote na si ajabu na yeye ana the same feeling kwamba yupo ignored
 
Hahahhaha MTM what about NEVER KNEW.?? this one is completely linked to that one I tell you and if you know the secret behind the Never knew then you've got the secret....................

Kitabu kikiisha ntaomba unipe nakala moja....
 
Hahahhaha MTM what about NEVER KNEW.?? this one is completely linked to that one I tell you and if you know the secret behind the Never knew then you've got the secret....................
Unaona sasa kamanda???

kumbe ni sredi lukuki,

we mkareee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…