Hahahaha....we kumbe mbea eh?.........Hebu soma komenti ya babu hapa chini
Na kuweka pointi vizuri zaidi ni kuwa.........huwezi penda watu wawili..Kuna mmoja utakuwa unamtamani tu....Kinachotokea hapa ni kuwa, yule unayemtamani lakini yeye akawa anakupenda, utajikuta unalazimika kumpenda na kumkubali. Ukimtamani na ukamkubali utajikuta unampenda......Bibi ameingia mikononi kwa babu kwa muktadha huu.....Ndo maana nikakwambia yule mtu akirudi, bibi atakuwa na mshindani mkali, sikusema bibi atapigwa kibuti.
FYI....hakuna mwenye uwezo wa kumtoa bibi yenu mikononi mwangu zaidi ya Mwenyezi Mungu.