Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Eh.................na yupi sasa alokutenda au?
Sasa unataka kusema Mama Matesha ambaye ni Bibi yangu mie ana mpinzani?
Mpinzani bado hajajitokeza rasmi bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh.................na yupi sasa alokutenda au?
Sasa unataka kusema Mama Matesha ambaye ni Bibi yangu mie ana mpinzani?
Babu ninatamani nikuone siku moja maana vituko vyako ni zaidi ya Lodi Lofa
Ebwana eee duu,...tarudi na swali...I loved a girl somuch in my old days!
We set a plan for future, to live together and raise a brand new family!
And we couldnt hide it no more, the echo went down to all the neighborhood compounds!
Akatumiwa barua siku moja kwa njia ya Posta, na kwa vile watu walijua kuwa niko nae, wakanipa barua hiyo ili nimpelekee!
Nikaamua kuifungua maana miandiko ya nduguze yote niliijua, na si wao walioiandika!...mwandiko mpya!
Nilikutana na mshangao wa maisha..."Nadhani ulifika salama nyumbani, nilifurahi sana kutembelewa na wewe"
My hairs! I couldnt believe the Lady went all the way to Laela-Sumbawanga, mi nikijua yuko shule!..huh!
Sikuwa na jinsi ....it was once and for all, sasa hivi tukikutana ni 'Hi...Hi'...Ana familia, nina familia!
Mapenzi ni sukari kwenye chai...chumvi kwenye chakula...mwanga gizani....kivuli juani....moto kwenye baridi....kujipenda ni pamoja na kuruhusu kupenda na kupendwa!Chachu ya jana usiifanye chachu ya leo!Mapenzi ni shubiri! Hebu angalia watu wanavyojiuwa kila siku sababu ya mapenzi, watu wanapelekena mahakamani, watu wanadundana na kupeana vilema sababu ya mapenzi.......I wanna love myself and treat fairly the consciousness
MTM and Lizy: Love is more of giving than receiving.
Yaah, but ni wangapi wako tayari kutoa mapenzi kiasi kile kile wanachopewa? Wengi wetu tunapenda kupendwa na kubembelezwa, utasikia mtoto wa kike anasema JAMAA KAFIKA KWELI, MIMI NAEGESHA TU!
This is slavery! Ndio anayosema mwanajamii One! Unapenda na kuhangaika, mwenzako anaona sifa tu, yeye haonyeshi mapenzi. Hebu jiulize, kwa nini umfanye mwenzako mtumwa kwa mapenzi! The world is full of broken hearts kwa sababu hizo! UKipendwa, shikamana!
Mapenzi ni sukari kwenye chai...chumvi kwenye chakula...mwanga gizani....kivuli juani....moto kwenye baridi....kujipenda ni pamoja na kuruhusu kupenda na kupendwa!Chachu ya jana usiifanye chachu ya leo!
Hommie hapa ni kuumizwa tuu au hata kuumiza?Ukipata nauli niPM nikuelekeze kitanda changu kilipo. Babu anaishi kitandani.
Mbona sasa umedata na njemba inayojifanya mrembo???!Kweli ndege mjanja hunaswa na tundu BOVU!!Hold on a bit! Kama nina kisukari sihitaji Sukari, Kama nina Pressure chumvi hapana, Kama ni kipofu sihitaji Mwanga, kama niko kivulini Jua la nini? Kama niko Jehanamu Moto wa nini tena. I hate to love
Nilitaka anzisha thread lakini ngoja tushee hapa hapa
Kuna mdada yuko JF....ninampenda sana, naogopa hata kumwandikia PM, ninachofanya post zake zote huwa namwekea likes na Thanks hata akiandika upupu. Naogopa mtokea, siku za hapa karibuni na yeye ameanza kunipa thanks na likes, wasi wasi na hizi ghost name zetu, labda unaweza kuta ni mmoja wa wapya zangu wa kiume...ila jina lake halionyeshi jinsia. Mabandiko yanaonyesha ni mdada mrembo. Najua atasoma hapa basi ajue anaukuna moyo wa mchungaji....ila natamani kwenda zaidi....
Mch
Hommie, Have you Ever..........hapa Bia na Mbuzi havihusiki lakini?
na ndio u-come back hivyo uje uokoe jahazi dadio nafwa
Kuna kitu nimejigundulia sijui kweli? Tunalalamikia sana kutendwa wajameni, lakini hatujiulizi sisi hatujatenda watu? mpira unazunguka tu wanasema what goes around, normally comes around!
Nikijiangalia mimi kama mimi wanaonipenda walahi kila nikijitahidi niwapende na mimi nashindwa jamani huwa najitahidi na kujitahidi na kujitahidi mwisho namwambia kabisa mwenzio nimejaribu nimeshindwa kabisa na sio mmoja, kwa yeye nadhani ataondoka ataenda jiuguza majeraha na kusema ametendwa na maty, kumbe nimejitahidi sana na nafsi yangu na Mungu ndio vinajua nilivyojitahidi.
Haya nije huo upande sijui ndio wa kutendwa, ninaowapenda mimi unajitoa roho, mwili na nafsi kumbe mwenzio wala hayuko mwisho wa siku naanza kulalama nimetendwa kumbe na yeye alikua anajitahidi anipende ila ameshindwa kabisa.
Sasa kabla hujalalamika kutendwa, jiulize je wewe hujawahi kumtenda mtu? hukumtenda kwa makusudi na wewe pia jua huyo unaeona amekutenda hafanyi kusudi bali ndio ukweli wenyewe huo. (sasa sijui niko sahihi lol, ila nimekuwa nikihisi hiki kitu)
hahahaaaaaaaaaa... mbona wewe ni ndugu kabisa tena wa damu??Ahaa.... Naomba mniingize katika ushirika wenu...
Sasa Kloro unataka tuhamie wapi??Kwako kuna nafasi?hii sredi inathibitisha kwamba Tanzania bara na visiwani kuna wahanga wengi sana wa mapenzi. Kwa niaba ya ofisi za Ebay na Norton antivirus hapa shekoslovakia naomba nitoe pole kwa waathirika wote. Pia mnashauriwa kuhama uswahilini ili kupunguza makali ya kuumizwa.
asanteni sana . ni mimi mshauri nasaha ambae nina uwezo wa kuongea lugha zaidi ya saba kiufasaha kabisa.
Walah nimecheka kwa nguvu kaizer loh ....................eti shikamana haya ngoja nijaribu kushikamana na wewe kaizerBaby kuna mtu hapa amesema 'love is not crime'
mfano ninavokupendaga is it a crime au na mi nianzishe sredi "have u ever"? Ukishikwa shikamana njoo tushikamane.....
Dah... hii kaliHold on a bit! Kama nina kisukari sihitaji Sukari, Kama nina Pressure chumvi hapana, Kama ni kipofu sihitaji Mwanga, kama niko kivulini Jua la nini? Kama niko Jehanamu Moto wa nini tena. I hate to love
hamieni japo msumbiji. statistics zinaonesha bongo ndoa nyingi zinavunjika kwa umbea wa uswahilini (scientifically proved).Sasa Kloro unataka tuhamie wapi??Kwako kuna nafasi?