Have You Ever.......

Have You Ever.......

I loved a girl somuch in my old days!

We set a plan for future, to live together and raise a brand new family!
And we couldnt hide it no more, the echo went down to all the neighborhood compounds!
Akatumiwa barua siku moja kwa njia ya Posta, na kwa vile watu walijua kuwa niko nae, wakanipa barua hiyo ili nimpelekee!
Nikaamua kuifungua maana miandiko ya nduguze yote niliijua, na si wao walioiandika!...mwandiko mpya!
Nilikutana na mshangao wa maisha..."Nadhani ulifika salama nyumbani, nilifurahi sana kutembelewa na wewe"
My hairs! I couldnt believe the Lady went all the way to Laela-Sumbawanga, mi nikijua yuko shule!..huh!

Sikuwa na jinsi ....it was once and for all, sasa hivi tukikutana ni 'Hi...Hi'...Ana familia, nina familia!
Ebwana eee duu,...tarudi na swali...
 
Mapenzi ni shubiri! Hebu angalia watu wanavyojiuwa kila siku sababu ya mapenzi, watu wanapelekena mahakamani, watu wanadundana na kupeana vilema sababu ya mapenzi.......I wanna love myself and treat fairly the consciousness
Mapenzi ni sukari kwenye chai...chumvi kwenye chakula...mwanga gizani....kivuli juani....moto kwenye baridi....kujipenda ni pamoja na kuruhusu kupenda na kupendwa!Chachu ya jana usiifanye chachu ya leo!
 
MTM and Lizy: Love is more of giving than receiving.

Yaah, but ni wangapi wako tayari kutoa mapenzi kiasi kile kile wanachopewa? Wengi wetu tunapenda kupendwa na kubembelezwa, utasikia mtoto wa kike anasema JAMAA KAFIKA KWELI, MIMI NAEGESHA TU!

This is slavery! Ndio anayosema mwanajamii One! Unapenda na kuhangaika, mwenzako anaona sifa tu, yeye haonyeshi mapenzi. Hebu jiulize, kwa nini umfanye mwenzako mtumwa kwa mapenzi! The world is full of broken hearts kwa sababu hizo! UKipendwa, shikamana!

The Following 3 Users Say Thank You to Okada For This Useful Post:

BlackBerry (Today), Kaizer (Today), Lizzy (Today)​
 
Nilitaka anzisha thread lakini ngoja tushee hapa hapa

Kuna mdada yuko JF....ninampenda sana, naogopa hata kumwandikia PM, ninachofanya post zake zote huwa namwekea likes na Thanks hata akiandika upupu. Naogopa mtokea, siku za hapa karibuni na yeye ameanza kunipa thanks na likes, wasi wasi na hizi ghost name zetu, labda unaweza kuta ni mmoja wa wapya zangu wa kiume...ila jina lake halionyeshi jinsia. Mabandiko yanaonyesha ni mdada mrembo. Najua atasoma hapa basi ajue anaukuna moyo wa mchungaji....ila natamani kwenda zaidi....

Mch
 
Mapenzi ni sukari kwenye chai...chumvi kwenye chakula...mwanga gizani....kivuli juani....moto kwenye baridi....kujipenda ni pamoja na kuruhusu kupenda na kupendwa!Chachu ya jana usiifanye chachu ya leo!

Hold on a bit! Kama nina kisukari sihitaji Sukari, Kama nina Pressure chumvi hapana, Kama ni kipofu sihitaji Mwanga, kama niko kivulini Jua la nini? Kama niko Jehanamu Moto wa nini tena. I hate to love
 
Kuna kitu nimejigundulia sijui kweli? Tunalalamikia sana kutendwa wajameni, lakini hatujiulizi sisi hatujatenda watu? mpira unazunguka tu wanasema what goes around, normally comes around!

Nikijiangalia mimi kama mimi wanaonipenda walahi kila nikijitahidi niwapende na mimi nashindwa jamani huwa najitahidi na kujitahidi na kujitahidi mwisho namwambia kabisa mwenzio nimejaribu nimeshindwa kabisa na sio mmoja, kwa yeye nadhani ataondoka ataenda jiuguza majeraha na kusema ametendwa na maty, kumbe nimejitahidi sana na nafsi yangu na Mungu ndio vinajua nilivyojitahidi.

Haya nije huo upande sijui ndio wa kutendwa, ninaowapenda mimi unajitoa roho, mwili na nafsi kumbe mwenzio wala hayuko mwisho wa siku naanza kulalama nimetendwa kumbe na yeye alikua anajitahidi anipende ila ameshindwa kabisa.

Sasa kabla hujalalamika kutendwa, jiulize je wewe hujawahi kumtenda mtu? hukumtenda kwa makusudi na wewe pia jua huyo unaeona amekutenda hafanyi kusudi bali ndio ukweli wenyewe huo. (sasa sijui niko sahihi lol, ila nimekuwa nikihisi hiki kitu)
 
Mbona sasa umedata na njemba inayojifanya mrembo???!Kweli ndege mjanja hunaswa na tundu BOVU!!
 
Nilitaka anzisha thread lakini ngoja tushee hapa hapa

Kuna mdada yuko JF....ninampenda sana, naogopa hata kumwandikia PM, ninachofanya post zake zote huwa namwekea likes na Thanks hata akiandika upupu. Naogopa mtokea, siku za hapa karibuni na yeye ameanza kunipa thanks na likes, wasi wasi na hizi ghost name zetu, labda unaweza kuta ni mmoja wa wapya zangu wa kiume...ila jina lake halionyeshi jinsia. Mabandiko yanaonyesha ni mdada mrembo. Najua atasoma hapa basi ajue anaukuna moyo wa mchungaji....ila natamani kwenda zaidi....

Mch

Mchungaji...kwanza nikupongeze kwa ujasiri wako kaka yangu wa kwenda hewani juu ya hisia zako. Big Up sana
Ni kweli usemavyo wawezakuta ni mpwao au shemejio siombei hilo kwani kama wanajamii wenzangu tunapenda kila mmoja awe na furaha. tunakuweka kwenye sala zetu.

Ewe target please identfy yourself hata kwa kumPM tu mchungaji ujieleze umtoe shaka.
 
na ndio u-come back hivyo uje uokoe jahazi dadio nafwa

Baby kuna mtu hapa amesema 'love is not crime'

mfano ninavokupendaga is it a crime au na mi nianzishe sredi "have u ever"? Ukishikwa shikamana njoo tushikamane.....
 
hii sredi inathibitisha kwamba Tanzania bara na visiwani kuna wahanga wengi sana wa mapenzi. Kwa niaba ya ofisi za Ebay na Norton antivirus hapa shekoslovakia naomba nitoe pole kwa waathirika wote. Pia mnashauriwa kuhama uswahilini ili kupunguza makali ya kuumizwa.

asanteni sana . ni mimi mshauri nasaha ambae nina uwezo wa kuongea lugha zaidi ya saba kiufasaha kabisa.

:focus:
 
Kuna kitu nimejigundulia sijui kweli? Tunalalamikia sana kutendwa wajameni, lakini hatujiulizi sisi hatujatenda watu? mpira unazunguka tu wanasema what goes around, normally comes around!

Nikijiangalia mimi kama mimi wanaonipenda walahi kila nikijitahidi niwapende na mimi nashindwa jamani huwa najitahidi na kujitahidi na kujitahidi mwisho namwambia kabisa mwenzio nimejaribu nimeshindwa kabisa na sio mmoja, kwa yeye nadhani ataondoka ataenda jiuguza majeraha na kusema ametendwa na maty, kumbe nimejitahidi sana na nafsi yangu na Mungu ndio vinajua nilivyojitahidi.

Haya nije huo upande sijui ndio wa kutendwa, ninaowapenda mimi unajitoa roho, mwili na nafsi kumbe mwenzio wala hayuko mwisho wa siku naanza kulalama nimetendwa kumbe na yeye alikua anajitahidi anipende ila ameshindwa kabisa.

Sasa kabla hujalalamika kutendwa, jiulize je wewe hujawahi kumtenda mtu? hukumtenda kwa makusudi na wewe pia jua huyo unaeona amekutenda hafanyi kusudi bali ndio ukweli wenyewe huo. (sasa sijui niko sahihi lol, ila nimekuwa nikihisi hiki kitu)

So maty unataka kusema sometimes ni adhabu kutoka kwa MUNGU kwa kuwa ulishawahi kumtenda mwingine?? na je kutenda huko unakozungumzia wewe kukoje kutompenda back mtu anayekupenda? au
 
hii sredi inathibitisha kwamba Tanzania bara na visiwani kuna wahanga wengi sana wa mapenzi. Kwa niaba ya ofisi za Ebay na Norton antivirus hapa shekoslovakia naomba nitoe pole kwa waathirika wote. Pia mnashauriwa kuhama uswahilini ili kupunguza makali ya kuumizwa.

asanteni sana . ni mimi mshauri nasaha ambae nina uwezo wa kuongea lugha zaidi ya saba kiufasaha kabisa.
Sasa Kloro unataka tuhamie wapi??Kwako kuna nafasi?
 
Baby kuna mtu hapa amesema 'love is not crime'

mfano ninavokupendaga is it a crime au na mi nianzishe sredi "have u ever"? Ukishikwa shikamana njoo tushikamane.....
Walah nimecheka kwa nguvu kaizer loh ....................eti shikamana haya ngoja nijaribu kushikamana na wewe kaizer
From now on..........Kaizer ni wangu lol huna haja ya kuanzisha thread ya Have you Ever..........tena
 
Hold on a bit! Kama nina kisukari sihitaji Sukari, Kama nina Pressure chumvi hapana, Kama ni kipofu sihitaji Mwanga, kama niko kivulini Jua la nini? Kama niko Jehanamu Moto wa nini tena. I hate to love
Dah... hii kali

I love to love, my only problem is the taste of time!!!:biggrin1:
 
Back
Top Bottom