Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Wa Ukweli ulie baki? Have you Ever?Ngoja nigoogle ni nini hiki?:mod:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Ukweli ulie baki? Have you Ever?Ngoja nigoogle ni nini hiki?:mod:
Najiuliza...kuna ambaye hajawahi kuumizwa? Sipati jibu!
nnunu umenikumbusha swali ambalo sometimes linanisumbua sana ............can any one tell me the feeling of being in love? Unajuaje uko in love na sio tamaa?AMBAYE HAJAWAHI KUUMIZWA KIMAPENZI NI YULE AMBAYE HAJAWAHI KUPENDA,
bali yeye anatamani tu...l....ol
Nadhani kila mtu anapenda kupenda sema tatizo ni kwamba tunapenda wasiopendeka!!Dah... hii kali
I love to love, my only problem is the taste of time!!!:biggrin1:
Basi wambea ndo waondoke!hamieni japo msumbiji. statistics zinaonesha bongo ndoa nyingi zinavunjika kwa umbea wa uswahilini (scientifically proved).
AMBAYE HAJAWAHI KUUMIZWA KIMAPENZI NI YULE AMBAYE HAJAWAHI KUPENDA,
bali yeye anatamani tu...l....ol
Nadhani kila mtu anapenda kupenda sema tatizo ni kwamba tunapenda wasiopendeka!!
yaani kaka you are very right...tunayachukulia mapenzi very serious na hii si kwamba ndio kwanza ninaisikia but najaribu tu kuielewa tena natumia nguvu nyingi kweli nielewe.....Tatizo watu wanayachukulia mapenzi vere serious wakati wanajua kuna probability ya kuumizwa! wanafizikia wanasema "ukikosea formula hauwezi kupata jawabu sahihi hata kama wewe ni mjukuu wa newton", achilia mbali mjukuu mtiifu lol(ni joke tu, mjukuu mtiifu usije ukanianzishia sredi).
So maty unataka kusema sometimes ni adhabu kutoka kwa MUNGU kwa kuwa ulishawahi kumtenda mwingine?? na je kutenda huko unakozungumzia wewe kukoje kutompenda back mtu anayekupenda? au
kupenda wasiopendekea sio tatizo coz you can always review your decision after a while... the bigger problem is thet love that stands a taste of time consistentlyNadhani kila mtu anapenda kupenda sema tatizo ni kwamba tunapenda wasiopendeka!!
wao hawaumii na wanafurahia hizo scenario, muhame nyinyi mnaolalamika kuumizwa. acha nisiende deep kwenye hizi ishu za uswahilini CCM watakosa kura. turudi kwenye "have u ever?" by Mjukuu mtiifuBasi wambea ndo waondoke!
Mhhhh mwenyewe nimejiuliza hilo swali sipati jibunnunu umenikumbusha swali ambalo sometimes linanisumbua sana ............can any one tell me the feeling of being in love? Unajuaje uko in love na sio tamaa?
I alwayds knew that you are something special, and i am right aisee!!:A S 103:Sidhani kama ni adhabu kutoka kwa Mungu my dia, kwani hapa nimezungumzia yule ambae humpendi ila sio kwa kumkomoa bali imetokea tu tena ameshakua ni mpenzi wako yaani mmeshagusanisha kitasa na funguo, ila kadri siku ziendavyo unajikuta kwamba wala humpendi so unaamua kujitoa, lakini mwenzio atadhani umemfanyia makusudi yaani umemtenda.
Na wewe hivyo hivyo unakua na uhusiano na mtu akidhani anakupenda baada ya muda anaona kwamba mh! moyo wake na wako havichangamani so anaamua kujivua gamba lakini wewe hapo unaona lol hili limtu limenitenda kumbe wala hana nia mbaya ila hana jinsi.
Nadhani kinachotokea huwa tunapenda ambako siko, na watu ni wagumu kusema ukweli kwamba mwenzangu nimejitahidi nimeona sikupendi na inakua kwa sababu Kwa msichana pengine kuna kitu anataka tu kutoka kwa huyo mwanaume halafu baada ya muda anasepa, kwani akisema mapema atakosa akitakacho na kwa mwanaume hivyo hivyo ila inawezekana mahitaji yanatofautiana tu.
Matokeo yake kila mtu anaenda kujigandisha tena kwa asiempenda basi ndio inakua hivyo hivyo mradi siku zinaenda.
Sheria ipi???Za Mungu zinaamuru tupendane....za kibinadamu hazihesabiki!Love is a criminal offense! Ngoja nimuulize Asprin ni kifungu gani cha sheria...!
........... naam, sasa umeanza kukua, safi sana bado kidogo tu :mimba:Mhhhh mwenyewe nimejiuliza hilo swali sipati jibu
....,nadhani mara nyingi hua tunachanganya kutamani na kupenda ndo maana hatuishi kulia hata pale isipostahili!
kupenda wasiopendekea sio tatizo coz you can always review your decision after a while... the bigger problem is thet love that stands a taste of time consistently
I dont have that one.... i have always experienced the tidal love which when low, is really low but when come high... huuuuuh, its cloud nien and above, AND I LOVE IT LIKE THAT
Given a chance....:tonguez:
Sheria ipi???Za Mungu zinaamuru tupendane....za kibinadamu hazihesabiki!
Seen!kupenda wasiopendekea sio tatizo coz you can always review your decision after a while... the bigger problem is thet love that stands a taste of time consistently
I dont have that one.... i have always experienced the tidal love which when low, is really low but when come high... huuuuuh, its cloud nien and above, AND I LOVE IT LIKE THAT
Given a chance....:tonguez:
Alafu tukishahama wataboreka watufuate.... then what???wao hawaumii na wanafurahia hizo scenario, muhame nyinyi mnaolalamika kuumizwa. acha nisiende deep kwenye hizi ishu za uswahilini CCM watakosa kura. turudi kwenye "have u ever?" by Mjukuu mtiifu