Hawa AIRTEL ni matapeli kabisa hasa kwenye kifurushi chao cha MB 850 cha shilingi 1500

Hawa AIRTEL ni matapeli kabisa hasa kwenye kifurushi chao cha MB 850 cha shilingi 1500

zink

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2021
Posts
1,208
Reaction score
2,352
Habari wakuu wa jf,

Huwezi amini nimejiunga kifurushi cha MB 850 kwa elfu 1500 hata nusu saa haijapita naambiwa umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako.

Kama hali ndio hii basi tumekwisha na sikuwahi kuzani kama airtel nao ni matapeli tu ila fine waache wachukue hivo vi MB vyao PUMBAFU SANA AIRTEL.
 
Hebu screenshot kwenye data usage tuone kama hujajipiga TKO mwenyewe maana naamini utakuwa umeallow automatic updates by using data na sio wifi.

IMG_20220906_100506.jpg
 
Mimi Mb500 ziliisha kwa notifications tu nikavunja line yenyewe miaka mi5 imepita hao sitaki hata kuwasikia kuna mshikaji wangu nae analalamika daily kuhusu bando zza Airtel navajo kumchekea tu.
 
Mimi Mb500 ziliisha kwa notifications tu nikavunja line yenyewe miaka mi5 imepita hao sitaki hata kuwasikia kuna mshikaji wangu nae analalamika daily kuhusu bando zza Airtel navajo kumchekea tu.

🤣🤣🤣🤣 ndio hivyo mkuu dawa ni kuwakimbia tu hakuna namna.
 
Eti 1500/= Ni 850 Mb ila wakikuletea ujumbe wa kutumia 100% wanasema umetumia 100% ya 1022 Mb zako.
Sielewagi hata.😎
Cha msingi jimwage na furushi lako la mwezi au Kaa kando.
#Bando Mzozo
 
Airtel wahuni tu.
Mwaka 2014 walikuwa na vifurushi viwili vya bei sawa.

Cha kwanza MB 500 = TZS 500

Cha pili MB 500 DK 50 SMS 100 = TZS 500

Hicho cha kwanza nilikuwa natumia zaidi ya masaa matatu.
Hicho cha pili ni kama moto wa mabua, nilikuwa natumia kama dakika 20 hivi.

Nahisi hayo mabua ndio wanatuuzia siku hizi.
 
🤣🤣🤣🤣 ndio hivyo mkuu dawa ni kuwakimbia tu hakuna namna.
Na line yao sikuishia kuitupa tu bali kea hasira nikavunja na kuitupa chooni baada ya kukopi namba muhimu na nikaandika katika record book yang kuwa mtandao wa hovyo kuwahi kutumia kwani siku nyingine inakuwa Mb zipo lakini network ya chini mno.

Halotel nao wanafuata mkumbo wa Airtel nawalia timing ninaweza kuivunja chap..
 
Back
Top Bottom