Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye video nao hovyo sanaDaaah ila hawa airtel sio watu wazuriiii kabisa mkuu na tozo juu mabando bei juu
Mi kuliko kujiunga huo upuuzi bora hata Mb 800 za vodq kwa 1500 zinakaa japo kdgHabari wakuu wa jf,
Huwezi amini nimejiunga kifurushi cha MB 850 kwa elfu 1500 hata nusu saa haijapita naambiwa umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako.
Kama hali ndio hii basi tumekwisha na sikuwahi kuzani kama airtel nao ni matapeli tu ila fine waache wachukue hivo vi MB vyao PUMBAFU SANA AIRTEL.
Mimi nina 18+ yrs na voda, angalau sasa hivi kidogo naona wameshaanza kujishtukia na kubadilika kwenye data, kuna muda niliwaza niitupe line yao kabisa ingawa maumivu bado yapo. Kuna siku data inaisha haraka na hujafanyia kitu cha maana, na kuna siku linakaa mpaka unawaza wamesahau kuzima au kuna ofa.Kwangu Mimi naona siku hizi voda bando linaenda vzr Sana(kwa experience yangu) lkn nao zamani walikua Kama Airtel.
Mbona Tigo ni 750 MB kwa Tshs 1500Habari wakuu wa jf,
Huwezi amini nimejiunga kifurushi cha MB 850 kwa elfu 1500 hata nusu saa haijapita naambiwa umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako.
Kama hali ndio hii basi tumekwisha na sikuwahi kuzani kama airtel nao ni matapeli tu ila fine waache wachukue hivo vi MB vyao PUMBAFU SANA AIRTEL.
Mkuu sasahivi tunaipata pata hakuna mtandao wenye afadhali wizi mtupu ila siku yao ipo.Habari wakuu wa jf,
Huwezi amini nimejiunga kifurushi cha MB 850 kwa elfu 1500 hata nusu saa haijapita naambiwa umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako.
Kama hali ndio hii basi tumekwisha na sikuwahi kuzani kama airtel nao ni matapeli tu ila fine waache wachukue hivo vi MB vyao PUMBAFU SANA AIRTEL.
Hahhhh hawa airtel ni wahuni mb zinapigwa laivu hata kama umezima data.Huwajui Airtel wewe,hayo yote unayoyasema tulishafanya na kitu inaliwa kama kawa.
Wewe lazima uwe mteja wao wa kudumu[emoji16][emoji16]Mi nimewakimbia mwezi sasa, ila kuangalia porn airtel hauhitaji VPN hicho ndo ntamiss.
Hahahah mkuu airtel sio watu wazuri kabisa leo ndio nimerud online daahhAirtel wahuni tu.
Mwaka 2014 walikuwa na vifurushi viwili vya bei sawa.
Cha kwanza MB 500 = TZS 500
Cha pili MB 500 DK 50 SMS 100 = TZS 500
Hicho cha kwanza nilikuwa natumia zaidi ya masaa matatu.
Hicho cha pili ni kama moto wa mabua, nilikuwa natumia kama dakika 20 hivi.
Nahisi hayo mabua ndio wanatuuzia siku hizi.
Mkuu nirudi mtandao gani sasa VODA ama TIGO?Na line yao sikuishia kuitupa tu bali kea hasira nikavunja na kuitupa chooni baada ya kukopi namba muhimu na nikaandika katika record book yang kuwa mtandao wa hovyo kuwahi kutumia kwani siku nyingine inakuwa Mb zipo lakini network ya chini mno.
Halotel nao wanafuata mkumbo wa Airtel nawalia timing ninaweza kuivunja chap..
Voda 😂😂😂Unarudi mtandao gani mkuu ?
Nipo Voda ,Tigo na HalotelMkuu nirudi mtandao gani sasa VODA ama TIGO?
Nashukuru mkuu bora nilejee vodacom tu maana hali mbaya kwa kweli nimechoka kuperuzi kwa mashaka hapa.Nipo Voda ,Tigo na Halotel
Voda hawa Mb zao zipo vizuri vifurushi vinaisha kihalali bila longolongo ila bei zao za juu mfano mimi najiunga cha buku 1.7Gb wiki 2 naperuzi bila wasi .
Halotel Mb zao za uongo mara nyingi uongo ukiweka hata Gb2 chap hamna salio na nimewahi kuchunguza kwenye data usage details nakuta nainibiwa kama Mb 150 mpk 160 kwenye GB 2 ,wao wanasema zimeisha ila ukikagua kwenye mahesabu hola.
Tigo sijaona shida yeyote wapo kawaida tu.
Sijawah tumia tigoHaha na Tigo nao veep mkuu au ndio yale yale tu.