Hawa aliexpress niwafanye nini wanifanyie refund yangu? nishachoka

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Nimesubiri refund walisema ni siku 15 au 20 nimesubiri mpaka hamna nilichopata nifanyeje customer care wao wanajibu maswali mepesi tu
 
pole sana..ila mimi sijawahi pata tatizo katika kuagiza kwangu bidhaa hvo sjawah fikia uamuz wa kutaka refund...ila nadhani pia umakini unshitajika katika kuchagua sellers wa kukuuzia bidhaa...tue tunajaribu sana kusoma reviews za wengine waliowahi agiza bidhaa husika kabla ya kufanya muamala wa "Alipay"
 
Hilo naljua kk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…